Mbona kwenye video za matukio ya ndoa ya Hamisa na Aziz Ki, Aziz Ki anaonekana kama zoba zoba fulani hivi kuliko akiwa uwanjani?

wedding anxiety
 
Ukiwa ughaibuni lazima uwe kamaa unatembea kwenye kamba
 
Lazima awe Zoba mzee mwanamke ili umfaidi vizuri jitie unyonge ili utie huruma. Zigo kama lile unapata wapi nguvu ya kuwa mbabe?!!
Zigo hatari full burudani mwanawane aziz anajienjoy tuu na mrembo.
Leo anakaribishwa hongera bby kwa ushindi huku hamisa anatikisa tako
 
Kama kweli mtu akikizungumzia wakati haupo huwa kinakukuta kikohozi basi huyu azizi hadi hali yake ni mbaya sana huko kwao.
 
ila mbona ndoa hii imewauma sana wanaume jamani, yani tumezoea wanawake ndo tunaoneana wivu.

Hili la hamisa wanaume mmeshindwa kujishikilia kabisa!
KHA!
Hakika hasa wale kataa ndoa na wale wasopenda dada zao single mamaz wameboeka mnoo
 
Aziz Ki ni mlugaluga fulani hivi, hela zinasaidia kumficha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…