Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Wali Mwengu Noma SanaWazee nimeongea na Hamisa leo asubuhi kabla sijaenda job kaniahidi kabisa atatulia na amebadilika siku hizi.
Mpumzisheni kwanza basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wali Mwengu Noma SanaWazee nimeongea na Hamisa leo asubuhi kabla sijaenda job kaniahidi kabisa atatulia na amebadilika siku hizi.
Mpumzisheni kwanza basi.
Mbona vilabuni anachangamkaNi kweli, Aziz ni wale watu ambao nje ya professional zao basi hawana ujanja, either ni shy au uzoba as you said.
wedding anxietyWakuu,
Huyu mwenzetu asijekuwa amepigwa juju hajielewi, maana kwenye video zote namuona akiwa kama zoba fulani hivi, sio mwonekano wa Aziz Ki tuliemzoea, sura yake inaonesha uzoba grade A kabisa kwenye hili tukio zima.
Single mazas wengine na wanawake mliovuka 30s nendeni kwa hamisa awaambie mganga wake anapatikana wapi la sivyo MTAKULA MLIPOPELEKA BIKRA ZENU.
I mean no mallice to anybody.
Kutulia hamisa 😂 mfanyabiashara wa mbususuWazee nimeongea na Hamisa leo asubuhi kabla sijaenda job kaniahidi kabisa atatulia na amebadilika siku hizi.
Mpumzisheni kwanza basi.
Sure, yaan jamaa na zile lips zake akizitoa nje nyekundu anakua kama zoba fulani hivi, sasa akiwa pembeni ya hamisa utasema wanaigizaNi kweli, Aziz ni wale watu ambao nje ya professional zao basi hawana ujanja, either ni shy au uzoba as you said.
Dah umenikumbusha alimtungia hadi nyimbo yupo nakima nevkenzo katika 😂Mondi alimdakaga kwa sangoma hyu mbukina kajichanganya kaamua kula pension mapema kabisa
Ukiwa ughaibuni lazima uwe kamaa unatembea kwenye kambaWakuu,
Huyu mwenzetu asijekuwa amepigwa juju hajielewi, maana kwenye video zote namuona akiwa kama zoba fulani hivi, sio mwonekano wa Aziz Ki tuliemzoea, sura yake inaonesha uzoba grade A kabisa kwenye hili tukio zima.
Single mazas wengine na wanawake mliovuka 30s nendeni kwa hamisa awaambie mganga wake anapatikana wapi la sivyo MTAKULA MLIPOPELEKA BIKRA ZENU.
I mean no mallice to anybody.
PureMicha ni mnyamwezi?
Zigo hatari full burudani mwanawane aziz anajienjoy tuu na mrembo.Lazima awe Zoba mzee mwanamke ili umfaidi vizuri jitie unyonge ili utie huruma. Zigo kama lile unapata wapi nguvu ya kuwa mbabe?!!
Hakika hasa wale kataa ndoa na wale wasopenda dada zao single mamaz wameboeka mnooila mbona ndoa hii imewauma sana wanaume jamani, yani tumezoea wanawake ndo tunaoneana wivu.
Hili la hamisa wanaume mmeshindwa kujishikilia kabisa!
KHA!
Aziz Ki ni mlugaluga fulani hivi, hela zinasaidia kumfichaWakuu,