Mbona magari yao ya washawasha hayajawahi kukosa maji?

Mbona magari yao ya washawasha hayajawahi kukosa maji?

Yudatade Edesi Shayo

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
2,903
Reaction score
4,334
Hivii kweli kariako sokoni na fire makaoo makuu ni Kama km 3!!makao makuu haya fire hydrants kweli? Mpaka wafuate maji airport?

Ila wangesikia BAVICHA au mbowe wanafanya mikutano ya ndani wangekuja mpaka na vidumu vya maji ya washawasha!

Ifike pahala kuwe na uwajibashwajii wa uzembe Kama huo watu wanakwenda kuwa masikini wanaambiwa tumeqaletwa salami za poleh!! Pathetic
 
Mi nawaza, hivi karibuni Raisi alikua kariakoo huko akiongea na watu, juzi juzi kulikua na rehearsal pale airport sijui ndio kitaalamu inaitwaje, maaskari wanafanya rehearsal kuokoa ikitokea janga.....

Hii ni coincidence????
 
Back
Top Bottom