Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,334
Inasikitishaa sanaNa magari ya uwasho hawajawahi kuishiwa maji,and always on time!
Inasikitishaa sana mkuuMimi binafsi sijui uwezo wangu wa kufikiri ndio umefika kikomo!? Enewei, kila la kheri Kamishina na hongera kwa Taarifa uliyotupa sisi Malofa.
Walafiiii wote wachumiaa tumboHakuna kiongozi mwenye nia njema na Taifa hili, wote ni maslahi tu.