eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Wadau wa jf, Jana nilitoa mada kuhusu kutokuwepo kwa habari za matokeo ya mchezo wa Simba huko Congo kuna watu walijibu kua mchezo ulimalizika wakati magazeti yamesha chapishwa hivyo had I toleo la kesho.Hio kesho ndio hii mbona bado hakuna hizo habari?si tuko nje ya nchi tunapata vichwa vya habari kwenye mtandao,au ile mkono unatia aibu?
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUO
Kwani matokeo si unayajua Mkuu, unataka magazeti ya nini?
Unataka hayo magazeti anunue nani?
BANA BA CONGO BAMEKULA NYAMA YA SIMBA WAMERUDI USIKU BA MANANE KIMYAKIMYA NA BADO MWARABU WA CAIRO MTAKOMA
Simba amefungwa bado UNATESEKA. Utakuja ufe kwa ajili ya SIMBA. Punguza roho mbaya kilaza wewe.Wadau wa jf, Jana nilitoa mada kuhusu kutokuwepo kwa habari za matokeo ya mchezo wa Simba huko Congo kuna watu walijibu kua mchezo ulimalizika wakati magazeti yamesha chapishwa hivyo had I toleo la kesho.Hio kesho ndio hii mbona bado hakuna hizo habari?si tuko nje ya nchi tunapata vichwa vya habari kwenye mtandao,au ile mkono unatia aibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
TATIZO MSEMAJI WAO ANAWADANGANYA SANA ETI SIMBA LEVEL YA BARCELONA NA BADO MTAKOMA SHAFII DAUDA ALISEMA NINYI NI UNDERDOG MKADANGANYWA NA MSEMAJI WENU NA NYIE MKAJAA AKILI SASA IMEWAINGIA MAANA MLIKUWA MBUMBUMBU KAMA KIONGOZI WENU ALIVYOWAITANgap hiyoo
We ni Yanga au Simba..?Wadau wa jf, Jana nilitoa mada kuhusu kutokuwepo kwa habari za matokeo ya mchezo wa Simba huko Congo kuna watu walijibu kua mchezo ulimalizika wakati magazeti yamesha chapishwa hivyo had I toleo la kesho.Hio kesho ndio hii mbona bado hakuna hizo habari?si tuko nje ya nchi tunapata vichwa vya habari kwenye mtandao,au ile mkono unatia aibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka ujuzwe kitu gani usichokijuaWadau wa jf, Jana nilitoa mada kuhusu kutokuwepo kwa habari za matokeo ya mchezo wa Simba huko Congo kuna watu walijibu kua mchezo ulimalizika wakati magazeti yamesha chapishwa hivyo had I toleo la kesho.Hio kesho ndio hii mbona bado hakuna hizo habari?si tuko nje ya nchi tunapata vichwa vya habari kwenye mtandao,au ile mkono unatia aibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wahonge wahariri ili habari ya kufungwa isiandikwe?Mikia badala ya kutafuta mbinu za kuwafunga Waarabu wao wanahonga Wahariri ili matokeo yao ya Mkono yasiandikwe magazetini.
Sent using Jamii Forums mobile app