eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Wadau wa jf, Jana nilitoa mada kuhusu kutokuwepo kwa habari za matokeo ya mchezo wa Simba huko Congo kuna watu walijibu kua mchezo ulimalizika wakati magazeti yamesha chapishwa hivyo had I toleo la kesho.Hio kesho ndio hii mbona bado hakuna hizo habari?si tuko nje ya nchi tunapata vichwa vya habari kwenye mtandao,au ile mkono unatia aibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app