Mbona magazetini hatujuzwi kilichomtokea Simba huko Congo?Jana kimya na Leo kimya,kulikoni?

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
Wadau wa jf, Jana nilitoa mada kuhusu kutokuwepo kwa habari za matokeo ya mchezo wa Simba huko Congo kuna watu walijibu kua mchezo ulimalizika wakati magazeti yamesha chapishwa hivyo had I toleo la kesho.Hio kesho ndio hii mbona bado hakuna hizo habari?si tuko nje ya nchi tunapata vichwa vya habari kwenye mtandao,au ile mkono unatia aibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUO
Kwani matokeo si unayajua Mkuu, unataka magazeti ya nini?
 
Wadau wa jf, Jana nilitoa mada kuhusu kutokuwepo kwa habari za matokeo ya mchezo wa Simba huko Congo kuna watu walijibu kua mchezo ulimalizika wakati magazeti yamesha chapishwa hivyo had I toleo la kesho.Hio kesho ndio hii mbona bado hakuna hizo habari?si tuko nje ya nchi tunapata vichwa vya habari kwenye mtandao,au ile mkono unatia aibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba amefungwa bado UNATESEKA. Utakuja ufe kwa ajili ya SIMBA. Punguza roho mbaya kilaza wewe.
 
Ngap hiyoo
TATIZO MSEMAJI WAO ANAWADANGANYA SANA ETI SIMBA LEVEL YA BARCELONA NA BADO MTAKOMA SHAFII DAUDA ALISEMA NINYI NI UNDERDOG MKADANGANYWA NA MSEMAJI WENU NA NYIE MKAJAA AKILI SASA IMEWAINGIA MAANA MLIKUWA MBUMBUMBU KAMA KIONGOZI WENU ALIVYOWAITA
 
Wadau wa jf, Jana nilitoa mada kuhusu kutokuwepo kwa habari za matokeo ya mchezo wa Simba huko Congo kuna watu walijibu kua mchezo ulimalizika wakati magazeti yamesha chapishwa hivyo had I toleo la kesho.Hio kesho ndio hii mbona bado hakuna hizo habari?si tuko nje ya nchi tunapata vichwa vya habari kwenye mtandao,au ile mkono unatia aibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
We ni Yanga au Simba..?
 
Katika hatua kubwa kama Hii kila timu n Nzur Kwahiyo kupigwa tano na vita n kawaida msemaj ndo kaz yake hiyo mambo ya uwanjan n ya wachezaj na coach
 
Wadau wa jf, Jana nilitoa mada kuhusu kutokuwepo kwa habari za matokeo ya mchezo wa Simba huko Congo kuna watu walijibu kua mchezo ulimalizika wakati magazeti yamesha chapishwa hivyo had I toleo la kesho.Hio kesho ndio hii mbona bado hakuna hizo habari?si tuko nje ya nchi tunapata vichwa vya habari kwenye mtandao,au ile mkono unatia aibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka ujuzwe kitu gani usichokijua
 
Back
Top Bottom