Mbona majanga.. @Madam B kaniletea janga mie!!!!!!!

Mbona majanga.. @Madam B kaniletea janga mie!!!!!!!

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,377
Reaction score
3,394
Jamani majangaaaa, yamenikuta mie binti Kizuka
Shoga kaniletea janga mchana kweupe peee

-Eti ku Do ni Do mie, mimba apate yeye

-Mnazi nipande mie, nazi aangue yeye

-Urojo nipike mie, kufaidi afaidi yeye

-Mkodombwe niandae mie, Kibwebwe afunge yeye, si janga hilo jamani

-@Bishanga nimchune mie, Buzi amwite yeye, si aleta majanga uyu jamani

-Ngoma ya Kilugwai niandae mie, msuto afanye yeye si anitafuta huyu Madam B jamani

-@The Boss nimwalike mie, halafu yeye aleta shauo si janga hili wana JF

Mbona majanga yailahi toba....................

 
Mahari atoe yeye kuoa aoe yeye eti kula ale mwingine majanga majanga
Eti limbwata niweke mie kupendwa na Bishanga apendwe yeye na milioni tano ahongwe yeye si janga hili The Secretary
 
Last edited by a moderator:
Binamu yote hayo ni kwa kuwa wapotea sana kama nywele za kwenye upara...
 
Zinduna u hali gani bibie? Pamoja na yote anokufanyia Madame B please kaa naye kitako umueleweshe kwa tuo kuwa asi-take advantage ya upacha mwenzako na kufanana sana isiwe sababu.

Akiendelea tuite sisi tumfunze adabu manina zake shwain kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Zinduna u hali gani bibie? Pamoja na yote anokufanyia Madame B please kaa naye kitako umueleweshe kwa tuo kuwa asi-take advantage ya upacha mwenzako na kufanana sana isiwe sababu.

Akiendelea tuite sisi tumfunze adabu manina zake shwain kabisa.

haaaaaaaaaaah!! Bwana harusi vipi tena, mbona wamtusi mwenzio? Yaani kukasirishwa, akasirishwe bi Zinduna matusi utoe wewe....... Mbona majangaaaaa mupenzi
 
Last edited by a moderator:
Gere uone wewe kununa anune yeye
Kukunwa ukunwe wewe raha apate yeye
Kubeba ubebe weye kuvilinga ...
.?
Mbona majangaaa, mbona majangaaa..!?
 
Back
Top Bottom