MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Rais kwa kuwa ni rais namba moja, inabidi awe wa kwanza kutuma hizi rambirambi, sio kwa ubaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama ni mtu wa mpira, kadi yake ya Yanga ina namba za mwanzo mwanzo kabisaSi ajabu hata hamjui. Yaani hajui hata kama kuna mchezaji mpira aliyekuwa nguli kafariki.😄
Ni hadi aambiwe.😂Rais kwa kuwa ni rais namba moja, inabidi awe wa kwanza kutuma hizi rambirambi, sio kwa ubaya.
View attachment 2463273