MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,661 Reaction score 21,656 Dec 30, 2022 #1 Rais kwa kuwa ni rais namba moja, inabidi awe wa kwanza kutuma hizi rambirambi, sio kwa ubaya.
residentura JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 8,146 Reaction score 11,434 Dec 30, 2022 #2 Pengine taarifa anachelewa kuzipata kutokana na wanaotakiwa kumpa hizo taarifa kutofanya hivyo kwa wakati.
Pengine taarifa anachelewa kuzipata kutokana na wanaotakiwa kumpa hizo taarifa kutofanya hivyo kwa wakati.
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,229 Reaction score 50,144 Dec 30, 2022 #3 Better late than never
T Tafakari yetu JF-Expert Member Joined Apr 19, 2021 Posts 1,505 Reaction score 4,427 Dec 30, 2022 #4 Naomba Madam President asitoe hata salamu. Sioni kama kuna faida salamu za msiba wakati hakukuwa na salamu zozote za kumtakia afya njema wakati wa ugonjwa.
Naomba Madam President asitoe hata salamu. Sioni kama kuna faida salamu za msiba wakati hakukuwa na salamu zozote za kumtakia afya njema wakati wa ugonjwa.
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,550 Reaction score 39,949 Dec 30, 2022 #5 Si ajabu hata hamjui. Yaani hajui hata kama kuna mchezaji mpira aliyekuwa nguli kafariki.π
MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,661 Reaction score 21,656 Dec 30, 2022 Thread starter #6 Troublemaker said: Si ajabu hata hamjui. Yaani hajui hata kama kuna mchezaji mpira aliyekuwa nguli kafariki.π Click to expand... Mama ni mtu wa mpira, kadi yake ya Yanga ina namba za mwanzo mwanzo kabisa
Troublemaker said: Si ajabu hata hamjui. Yaani hajui hata kama kuna mchezaji mpira aliyekuwa nguli kafariki.π Click to expand... Mama ni mtu wa mpira, kadi yake ya Yanga ina namba za mwanzo mwanzo kabisa
kmbwembwe JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 10,892 Reaction score 7,780 Dec 30, 2022 #7 MSAGA SUMU said: Rais kwa kuwa ni rais namba moja, inabidi awe wa kwanza kutuma hizi rambirambi, sio kwa ubaya. View attachment 2463273 Click to expand... Ni hadi aambiwe.π
MSAGA SUMU said: Rais kwa kuwa ni rais namba moja, inabidi awe wa kwanza kutuma hizi rambirambi, sio kwa ubaya. View attachment 2463273 Click to expand... Ni hadi aambiwe.π