Mbona mapema sana, Siku 3 baada ya Rais wa Mexico kuishupazia shingo Marekani kakubali kutuma wanajeshi elf 10 mpakani kudhibiti madawa na wahamiaji

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145
Trump aliweka kodi asilimia 25 kwa bidhaa zinazotoka Mexico kama adhabu ya wao kutotia mkazo wa uvushaji wa madawa na wahamiaji haramu kuingia Marekani, Rais wa Mexico hakutaka kuonekana mnyonge akamwaga mboga kwa kuweka kodi asilimia 25 kwa bidhaa zinazotoka Marekani (Tit for Tat), Ni siku ya 3 rais wa Mexico pumzi imekata kaomba ligi iishe na kukubali kutuma wanajeshi elf 10 mpakani

Kupitia mtandao wake wa Truth na X(Twitter) Trump ameandika “Nimezungumza na Rais Claudia Sheinbaum wa Mexico. yalikuwa mazungumzo ya kirafiki sana ambapo alikubali mara moja kutuma wanajeshi 10,000 wa Mexico kwenye mpaka unaotenganisha Mexico na Marekani. Wanajeshi hawa watawekwa mahsusi ili kuzuia mtiririko wa fentanyl na wahamiaji haramu kuingia katika nchi yetu."

Trump aemongeza kuwa "Tulikubaliana pia kusitisha mara moja ushuru uliokuwa umepangwa kwa muda wa mwezi mmoja, kipindi ambacho tutakuwa na mazungumzo yatakayoongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio, Waziri wa Hazina Scott Bessent, na Waziri wa Biashara Howard Lutnick, pamoja na wawakilishi wa ngazi ya juu wa Mexico."
 
Hapo nyuma ya kamera Mchina anafurahi maana bidhaa zake zinazoingia Marekani kupitia Mexico kama third party hazitakutana na tariffs

By the way tangu kipindi cha Biden Mexico ilishapeleka troops 10,000 so obvious nothing new there

Sema wanasiasa wameshaanza kumsoma huyu mzee mpenda sifa wameanza kuishi naye kwa akili. Trump ni aina ya watu wapenda sifa wewe msifie hata ujinga aridhike

Raisi wa Mexico amefanya uamuzi sahihi kupeleka wanajeshi 10,000 border ain't a big issue ukizingatia export ya Mexico kwa Marekani ni 80% of total exports wakati export ya Marekani kwa Mexico ni 20%+

Kwenye international trade Mexico inamuhitaji sana Marekani
 
Hapo nyuma ya kamera Mchina anafurahi maana bidhaa zake zinazoingia Marekani kupitia Mexico kama third party hazitakutana na tariffs

By the way tangu kipindi cha Biden Mexico ilishapeleka troops 10,000 so obvious nothing new there

Sema wanasiasa wameshaanza kumsoma huyu mzee mpenda sifa wameanza kuishi naye kwa akili. Trump ni aina ya watu wapenda sifa wewe msifie hata ujinga aridhike

Raisi wa Mexico amefanya uamuzi sahihi kupeleka wanajeshi 10,000 border ain't a big issue ukizingatia export ya Mexico kwa Marekani ni 80% of total exports wakati export ya Marekani kwa Mexico ni 20%+

Kwenye international trade Mexico inamihitaji sana Marekani
Biden sasa nae alikuwa anajijua ni rais basi, achilia kupotea potea njia, mzee alikuwa anatia huruma anasinzia kila muda, kuna kipindi alisahau cocaine ikulu ilikamatwa aanzaje kuwabana suppliers wake Mexico, hakuna rais pale.

muda huu wahamiaji wanaovuka wamepungua kwa asilimia 93 chuma kipo ikulu,

Hao China walianza kui controll Panama Canal na rais wa Panama, chuma kimeingia ikulu rais wa Panama jeuri zote zimeyeyuka 😀 mipango ya Xi Jin Ping inaharibika Panama canal
 
Ni lini China iliwahi kumpa jeuri Panama? Sikuzote foreign policy ya China ni kutoingilia masusla ya ndani ya taifa lolote

Kwanza China imejenga Chancay port nchini Peru, pili imeisaidia Mexico kuupgrade bandari zake za Pacific ili ku-bypass Panama canal ambayo kwa sasa inakabili low water levels kwao Panama canal sio big deal, tatu China ina mpango na Nicaragua wa kujenga Grand-inter-Oceanic Canal

Mchina unafikiri ana akili fupi kama za U.S, alipolala Marekani ndipo Mchina alipoamkia.

Na ndio maana Mchina alimng'oa Marekani hapo Latin America kama trade partner wao mkubwa kwa sasa Mchina ametawala Latin America ndiye trade partner mkubwa

Marekani iendelee kupambana na wahamiaji haramu tu hapo Latin America ila kwenye trade Mchina hashikiki
 
Mchina unafikiri ana akili fupi kama za U.S alipolala Marekani ndipo Mchina alipoamkia.

Na ndio maana Mchina alimng'oa Marekani hapo Latin America kama trade partner wao mkubwa kwa sasa Mchina ametawala Latin America ndiye trade partner mkubwa

Marekani iendelee kupambana na wahamiaji haramu tu hapo Latin America ila kwenye trade Mchina hashikiki
Mpaka wewe mwenyewe unajingata umeanza chaina haingilii mambo ya nchi za Latin umekuja tena kujitegua china anacontroll 😀

Hali ndio hio, chuma kimerudi ikulu mchina afunge virago vyake hapo Panama Canal hana chake
 
Kwanza shida niliyoiona kwako hauelewi kabisa maana ya non-interference policy?

Labda nikusaidie foreign business sio interference policy

Unapozungumzia non-interference policy ina maana China haifanyi political au military intervention kwa taifa lolote ambalo anafanya nalo biashara au wana diplomatic relationship na China au taifa hilo ni sovereign state

Kwa hiyo China kuwa the biggest trade partner wa Latin America sio interference
 
Hali ndio hio, chuma kimerudi ikulu mchina afunge virago vyake hapo Panama Canal hana chake
Canal Panama ilijengwa na Marekani na wakaikabidhi kwa Panama kwa mkataba uliosainiwa 1977: "The US to intervene militarily if the waterway’s operations are disrupted by internal conflict or a foreign power."

Mkataba wowote kati ya taifa moja na lingine (interstate bilateral agreement) kulingana na sheria za kimataifa unatakiwa kuheshimiwa na mataifa mengine yote

Ni kama vile Marekani inavyoheshimu mkataba uliosainiwa kati ya Uingereza na China kuhusu Hong Kong kurudishwa kwa China mwaka 1997. Ndio maana huwezi kuona Marekani ina influence kwa Hong Kong kama ilivyokuwa kabla ya 1997

Mchina yuko Panama kwa strategic cooperation na hata kama wakiamua kuondoka Panama, Mchina hataathirika kiuchumi.

Ila Panama itakuwa imepoteza its economic potential kupitia BRI ya China
 
Nikisema Trump anatumia tariff kama silaha ya kupata malengo yake mengine. Tariff si lengo, ni silaha ya kufikia lengo.
 
Mbona hausemi na marekani nae kasitisha mpango wa kutoza Kodi 25% kwa bidhaa zinazoingia marekani kutoka mexico?
 
Ni lini China iliwahi kumpa jeuri Panama? Sikuzote foreign policy ya China ni kutoingilia masusla ya ndani ya taifa lolote

Kwanza China imejenga Chancay port nchini Peru, pili imeisaidia Mexico kuupgrade bandari zake za Pacific ili ku-bypass Panama canal ambayo kwa sasa inakabili low water levels kwao Panama canal sio big deal, tatu China ina mpango na Nicaragua wa kujenga Grand-inter-Oceanic Canal

Mchina unafikiri ana akili fupi kama za U.S, alipolala Marekani ndipo Mchina alipoamkia.

Na ndio maana Mchina alimng'oa Marekani hapo Latin America kama trade partner wao mkubwa kwa sasa Mchina ametawala Latin America ndiye trade partner mkubwa

Marekani iendelee kupambana na wahamiaji haramu tu hapo Latin America ila kwenye trade Mchina hashikiki
Acha unafiki, unadhani Marekani angekuwa na akili fupi kama unavyosema, angekuwa hapo alipo?.

Kuna Nchi haitaki kuwa kama Marekani?, lakini nani ameweza kumfikia?, acheni siasa na propaganda za majitaka.
 
Kwenye biashara na manufacturing kwa sasa Marekani hamfikii China

Unafikiri China inataka kuwa kama Marekani inapohusu manufacturing na trade?

Kwenye infrastructure China ni bora zaidi ya Marekani unafikiri China wanataka wawe kama Marekani ilivyo kwa sasa na poor infrastructures compared to China?

Unafikiri China wanapenda kila baada ya siku 100 wawe wanatengeneza deni la USD 1 trillion kama Marekani?

Unadhani China wanataka wawe na deni la taifa USD 36 trillion kama Marekani?

Unafikiri Marekani hawapendi nao wawe na trade surplus ya USD 1 trillion kama China badala ya kuwa na tade deficit ya USD 1 trillion

Unafikiri Wamarekani hawapendi waishi kwenye nchi yenye low cost of living kama China? Wengi wakienda China wanastaajabishwa na jinsi ilivyo cheap kuishi China kuliko Marekani inapohusu mahitaji ya msingi kama nyumba, vyakula n.k

Unafikiri Wamarekani hawatamani kuwa na raisi kama Xi anayezingtia ustawi wa watu wake na kufanya poverty alleviation badala ya kutumia billions of dollars kwenye unnecessary conflicts?

Unafikiri Wachina wanatamani kuishi kwenye tents kama homeless wa Marekani na kuwa mateja wa fentanly kama Wamarekani?

Msikariri kuna mambo yamebadilika sana duniani China imeachieve vitu vingi better than U.S

Kwa sasa kuna nchi haitaki kuwa kama China kimafanikio?
 
Hii kubwa kuliko, kuna sehemu nyingi China yuko mbele ya Marekani
 
Back
Top Bottom