Mbona matangazo ya watu kupotea hasa vijana wa kiume yamekua mengi? Au ni mimi ndiyo naona

Mbona matangazo ya watu kupotea hasa vijana wa kiume yamekua mengi? Au ni mimi ndiyo naona

Mgosi Mbena

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2023
Posts
499
Reaction score
604
Wakuu hii ikoje,

Si WhatsApp si twitter kila siku lazima nione vijana timamu kabisa kupotea wengine wanafunzi wengine wafanyabiashara.

Au mimi ndiyo naweweseka
 
Twitter inakuonesha vitu unapenda.

Wewe itakuwa una-engage sana na posts za watu kupotea, labda una Imani flani juu ya hayo mambo

Tena mpaka unaona whatsapp, itakua umejiegesha kwenye magroup ya watu wenye imani kama yako(nakisia ni ulokole/ ushika dini)
 
mkuu labda ni ww!!
Kuna washikaji zangu hapo dar ndo jamaa zao wamepotea…. nilivoingia twitter nikagundua hilo pia list go on
 
Back
Top Bottom