Mgosi Mbena
JF-Expert Member
- Nov 28, 2023
- 499
- 604
mkuu labda ni ww!!Twitter inakuonesha vitu unapenda.
Wewe itakuwa una-engage sana na posts za watu kupotea, labda una Imani flani juu ya hayo mambo
Tena mpaka unaona whatsapp, itakua umejiegesha kwenye magroup ya watu wenye imani kama yako(nakisia ni ulokole/ ushika dini)
Nicopie uo uzi niuoneKuna uzi humu jf kuna watu wameamua tu kupotea na kuwa mbali na familia lakini wapo tu salama
Nicopie uo uzi niuone
Ni biashara ya viungo vya binadamu...Figo nakadhalika.Wakuu hii ikoje,
Si WhatsApp si twitter kila siku lazima nione vijana timamu kabisa kupotea wengine wanafunzi wengine wafanyabiashara.
Au mimi ndiyo naweweseka
Wanaolewa kwa muda.........wanapenda maisha ya juu bila kutoka jasho!Wakuu hii ikoje,
Si WhatsApp si twitter kila siku lazima nione vijana timamu kabisa kupotea wengine wanafunzi wengine wafanyabiashara.
Au mimi ndiyo naweweseka
Duu mzee una Hadi washikaji walopotea kuwa makinimkuu labda ni ww!!
Kuna washikaji zangu hapo dar ndo jamaa zao wamepotea…. nilivoingia twitter nikagundua hilo pia list go on
kwann mkuu,,, mambo ya dar hayoD
Duu mzee una Hadi washikaji walopotea kuwa makini
mkuu kuwa serious mtu ana familia ana kazi anaweza fanya uo ujingaWanaolewa kwa muda.........wanapenda maisha ya juu bila kutoka jasho!
hayo si matangazo ni watu ambao wanapostiwa na watu wa ninao wajua au kuwafahamuNikama kusikiliza matangazo ya vifo redioni ndo utajua kila siku watu wanakufa... So hayo matukio yapo
Ndugu vijana wa siku hizi ndivyo walivyo,,baada ya kuliwa viboga wanaonekana!mkuu kuwa serious mtu ana familia ana kazi anaweza fanya uo ujinga
duuh mkuu!! Siyo vizuri hizi comment ukumbuke na ww unawatu wa karibuNdugu vijana wa siku hizi ndivyo walivyo,,baada ya kuliwa viboga wanaonekana!