Mbona matukio ya kujiua yamekuwa mengi hivi?

Mbona matukio ya kujiua yamekuwa mengi hivi?

Cassnzoba

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2022
Posts
3,661
Reaction score
6,913
Habari wakuu

Nasikitika sana kuona matukio ya watu wanajikuta hivi

Kwamfano Kuna huyu jamaa aliyekuja kwasababu ya madeni ya mkewe eti mkewe ana Madeni ya vicobaaa duuuh aiseee

Hii ni changamotoo wakuuu

Karibuni kwa maoni
 
Attachments

  • Screenshot_20250302-231144_1.jpg
    Screenshot_20250302-231144_1.jpg
    278.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250302-231226_1.jpg
    Screenshot_20250302-231226_1.jpg
    324.3 KB · Views: 1
Kuna muda hua nawaelewa sana hao watu wanaofanya matukio kama hayo na wale wanaoua wapenzi wao, kuna wakati unajiona huna la kupoteza ngoja nilishe watu wali wa msiba tuu.
 
Kuna muda hua nawaelewa sana hao watu wanaofanya matukio kama hayo na wale wanaoua wapenzi wao, kuna wakati unajiona huna la kupoteza ngoja nilishe watu wali wa msiba tuu.
Duuuh hizo hisia zipo sana TU, lakini inatakiwa tuwe na namna ya kuzikontrol kwa kutokaaa peke yetu muda mwingi ni Bora kujichanganyaaa na watu
 
Kujiua ni ujinga, haijalishi unapitia matatizl gani, ni ujinga zaidi haswa maisha yakiwa magumu ama mapenzi ndio vikufanye ujiue, ni ujinga
 
Kujiua ni ujinga, haijalishi unapitia matatizl gani, ni ujinga zaidi haswa maisha yakiwa magumu ama mapenzi ndio vikufanye ujiue, ni ujinga
Afadhali mkuu na wewe umeliona Hilo!!
 
Back
Top Bottom