Mbona Maulid Kitenge hajasema 'Swahiba' wake Oscar Oscar anaachana na EFM na anaenda wapi?

Mbona Maulid Kitenge hajasema 'Swahiba' wake Oscar Oscar anaachana na EFM na anaenda wapi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Imeandikwa na @maulidkitenge -

@oscaroscarjr ni moja ya wachambuzi waandamizi ambao wamekuwa nasi kwenye Sports HQ kwa miaka 7. Sisi tunamshukuru kwa uchambuzi wa kina, vituko, maoni na yote aliyofanya kwenye kipindi hicho. Tunamtakia kila lenye kheri kwenye majukumu yake mapya.

Chanzo: Dar Mpya Blog
 
Wanatanga pindi jipya wanazindua Leo hao hakuna WA kukimbia hapo
 
Back
Top Bottom