Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Pumba za mwita25!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Wassira yupo JF! Kwani hujawahi mshtukia anatumia ID gani?! Think aloud utamgundua..he is so close to you and this thread.Acha kiherehere unajuaje kama yupo au hayupo? kwani lazima ID yake isomeke MBOWE? Mbona Wassira hayupo JF?
mkuu wa magamba tatizo la mbowe (na lema) ni shule. huwezi kumlinganisha na Zito au Slaa. Ndo maana hutamuona humu hata siku moja.
Yule ni mhamasishaji mzuri. lakini uelewa na leadership ni chaka la nguvu.
Nikisema mhamasishaji ni ngumu kunielewa kama hujawahi kuhudhuria kampeni zake. jaribu siku moja usiogope kwani magamba yako hayataonekana.
vp kikwete anatumia jina gani?Wenzake Slaa na Zitto huwa wanatumia muda wao kujadiliana hoja na wanaJF. Yeye vipi, mbona hayumo humu jamvini? Ni dharau au uelewa mdogo?