Mbona Mbowe yuko kimya, ni kawaida yake?

Madhara ya kumchukia jpm lazima uwe mpweke mbowe kaona bora kujirambia asali tu maana chadema imekufa baada ya kujaribu kupigana na marehemu ...sasa mbowe ameamini kuwa marehemu ana nguvu kuliko chadema na ccm
 
Kwa hiyo unakiri ni kweli chama chako cha CCM kinahonga wapinzani ili wasikikosoe?
Hapana kina honga ili waongeze nguvu kwa kujiunga na CCM ILI KUPIGANA VITA NA MAREHEMU ...MAREHEMU KAWASHIKA PABAYA ...MZIMU WA NYERERE ULIKUWA UMEKUFA ILA JPM NA KIFO CHAKE KIME UZINDUA HUO MZIMU NA MZIMU WA JPM HIVYO CHADEMA WAMEKUBALIANA NA MAMA KUWA VITA NI NGUMU NA ADUI WAO NI ...MZIMU WA NYERERE NA JPM..sasa wameungana kupigana na hiyo mizimu miwili...sijui kama mmenielewa
 
Huo mzimu wa JPM hatari yake ni nini hadi waungane?
 
Huo mzimu wa JPM hatari yake ni nini hadi waungane?
Hatari yake kawaulize wabunge wa ccm wanapo fanya mkutano na watu 10 tu ..pia muulize beberu na chanjo zake alizo leta kwa mgongo wa Zelensky sa100 ...pia muulize Jakaya kwanini anaishi kama digi digi ...mitaa wanayo ishi hata bodaboda azitakiwi kupita
 
Zaidi ya yote 2025 Mbowe atatangazia umma wa Watanzania kususia uchaguzi mkuu kwa sababu hakuna tume huru na Katiba mpya. Mtaelewa tu.
 
Wewe unasema kitu nakuuliza unasema nikawaulize tena?
Hao wabunge hata kama wasipofanya mkutano kabisa mtawafanya nini?
 
Mwacheni apumzike. Alishakaa Mahabusu kwa muda mrefu na anaogopa kesi ya ugaidi ikifunguiliwa tena. Unajua DPP alisema hana interest ya kuendelea na kesi hiyo kwa wakati ule, lakini haina maana kua alifuta kesi. DPP akiamua anaweza kuliamsha tena.

Acha uongo, tofautisha nolle prosequi na trial de Novo. Nolle prosequi inatolewa Mara moja. Kama DPP anataka kufungua kesi anaanza upya. Kwa kuomba kibali mahakamani.
Madhara ya kumchukia jpm lazima uwe mpweke mbowe kaona bora kujirambia asali tu maana chadema imekufa baada ya kujaribu kupigana na marehemu ...sasa mbowe ameamini kuwa marehemu ana nguvu kuliko chadema na ccm
 
Acha uongo, tofautisha nolle prosequi na trial de Novo. Nolle prosequi inatolewa Mara moja. Kama DPP anataka kufungua kesi anaanza upya. Kwa kuomba kibali mahakamani.
Kuna ugumu gani iwapo DPP atataka kufungua kesi upya!
 
Madhara ya kumchukia jpm lazima uwe mpweke mbowe kaona bora kujirambia asali tu maana chadema imekufa baada ya kujaribu kupigana na marehemu ...sasa mbowe ameamini kuwa marehemu ana nguvu kuliko chadema na ccm

JPM ndio alikuwa na haki ya kuchukia watu? Halafu JPM mwenyewe alikuwa hataki upinzani ndio maana risasi na kutekana kulishamiri. Kazuia mikutano ya siasa.

Kiboko ya JPM alikuwa Lissu. Kamtwanga risasi Lissu Lissu kapona, kaja akamuibia kura Wala hakudumu kwenye urais hata miezi minne hakumaliza.
 
Asali mbichi ni hatari sana
Tena ile asali ya nyuki wadogo ni tamu zaidi ukiwa unalamba uko uraiani baada ya kuachiwa toka korokoroni hutakiwi kupayuka!!
 
Msome hapa
 
Acha kumlinganisha Nyerere na Mambo ya ovyo.

tena ile asali ya nyuki wadogo ni tamu zaidi ukiwa unalamba uko uraiani baada ya kuachiwa toka korokoroni hutakiwi kupayuka!!

Maneno ya wakosaji. Mlitaka afungwe ametoka mmeumia. Tena mmeumia kumuona ikulu na Rais.
 
Wabunge wenyewe wameingia kwa wizi wa kura kumfurahisha Magufuli. Wananchi wamewakataa wabunge wa Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…