Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Madhara ya kumchukia jpm lazima uwe mpweke mbowe kaona bora kujirambia asali tu maana chadema imekufa baada ya kujaribu kupigana na marehemu ...sasa mbowe ameamini kuwa marehemu ana nguvu kuliko chadema na ccmKulingana na mfululizo wa matukio ya hivi karibuni yaliyotokea nchini, si kawaida kukuta kiongozi wa Chadema akikaa kimya kama ilivyo ada yake.
Duru mbalimbali zinasema kwamba Mbowe amesharamba asali tayari, ametulizwa. Hubu tusemeni jamani, ni kawaida ya mbowe hii kweli, hata tweet kweli? kweli?