Wakati wa majadiliano ni muhimu kujihadhari na matamshi ya kila mara bila vikao halali vya chama. Mbowe anataka achosema kiwe ni msimamo wa vikao vya chama ili kutoruhusu mgawanyiko wakati huu wa "toa nikupe" au kutoruhusu hisia kuwa chama ni mali ya mtu.Kulingana na mfululizo wa matukio ya hivi karibuni yaliyotokea nchini, si kawaida kukuta kiongozi wa Chadema akikaa kimya kama ilivyo ada yake.
Duru mbalimbali zinasema kwamba Mbowe amesharamba asali tayari, ametulizwa. Hubu tusemeni jamani, ni kawaida ya mbowe hii kweli, hata tweet kweli? kweli?
Asali ya Zanzibar ya Nyuki wadogo ni Hatari Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asali mbichi ni hatari sana
Asali ya Zanzibar ya Nyuki wadogo ni Hatari Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata ukimusema, Mbowe kama M/kiti wa chama hawezi kuondolewa. Mutabaki kusemea tu pembeni kwenye vikao hakuna mwenye uwezo wakuzungumza jambo la kubadirisha M/kiti wa chama . Period.Aseme nini tena...wakati anasubiri Safari nyingine Ikulu?
Achana Na Kitu inaitwa Asali ni kitamu Sana...!
Mbona tutafurahi sana wakiacha kufanya mikutano..maana wanatuletea mafiii tuWewe unasema kitu nakuuliza unasema nikawaulize tena?
Hao wabunge hata kama wasipofanya mkutano kabisa mtawafanya nini?
Sisi tulikuwa tunateka na kuua na kuwafumba midomo maadui wa uzalendo sasa hivi sa100 anateka na kuua na kuwafunga midomo wazalendo ...sasa huoni tofauti hapoJPM ndio alikuwa na haki ya kuchukia watu? Halafu JPM mwenyewe alikuwa hataki upinzani ndio maana risasi na kutekana kulishamiri. Kazuia mikutano ya siasa.
Kiboko ya JPM alikuwa Lissu. Kamtwanga risasi Lissu Lissu kapona, kaja akamuibia kura Wala hakudumu kwenye urais hata miezi minne hakumaliza.
Niambie basi kwanini sa100 kazuia hotuba za nyerere na jpm ...zisisikike popoteAcha kumlinganisha Nyerere na Mambo ya ovyo.
Jidanganye wabunge walichaguliwa na wananchi kwa sababu ya kukubalika kwa jpm mzalendo no1Wabunge wenyewe wameingia kwa wizi wa kura kumfurahisha Magufuli. Wananchi wamewakataa wabunge wa Magufuli.
Heeee!Niambie basi kwanini sa100 kazuia hotuba za nyerere na jpm ...zisisikike popote
Saccos ya mwenyekiti ipo hoi bin taabani
Mbona nilimuona Jumapili akiimba kanisani, hapo ukimya uko wapi?
Wamekubaliana hewa!hata mama hana uhakika wa UCHAGUZI 2025!!Dola inataka katiba MPYA ndio maagizo aliyopewa Sasa mwacheni ajishebedue aje aone kama State Huwa ina bagazwa!!!kwani lazima Mbowe aongee?
chama kimeshatoa nsimamo
busara lazima itumike kulinda Maridhiano
hamkumbuki kina Maalim Seif baada ya maridhiano walianza hata kuhudhuria Sherehe za Mapinduzi Matukufu zilizohitimisha Tawala na maisha ya Babu zao
kuna majimbo 'tumekubaliana tayari na ndio sababu 'NURU NA BASHASHA' za Heche na Mchungaji Msigwa zimerudi
Achà kuandika utotokwani lazima Mbowe aongee?
chama kimeshatoa nsimamo
busara lazima itumike kulinda Maridhiano
hamkumbuki kina Maalim Seif baada ya maridhiano walianza hata kuhudhuria Sherehe za Mapinduzi Matukufu zilizohitimisha Tawala na maisha ya Babu zao
kuna majimbo 'tumekubaliana tayari na ndio sababu 'NURU NA BASHASHA' za Heche na Mchungaji Msigwa zimerudi
Mbowe wanasubiria Kikosi Kazi kije na hoja ambazo zina nguvu ili zijibiwe kwa hoja.Kulingana na mfululizo wa matukio ya hivi karibuni yaliyotokea nchini, si kawaida kukuta kiongozi wa Chadema akikaa kimya kama ilivyo ada yake.
Duru mbalimbali zinasema kwamba Mbowe amesharamba asali tayari, ametulizwa. Hubu tusemeni jamani, ni kawaida ya mbowe hii kweli, hata tweet kweli? kweli?
Je kwa mamako anahudhuria kama siku za nyuma?au amepunguza kidogo? Tujulishe pleaseKulingana na mfululizo wa matukio ya hivi karibuni yaliyotokea nchini, si kawaida kukuta kiongozi wa Chadema akikaa kimya kama ilivyo ada yake.
Duru mbalimbali zinasema kwamba Mbowe amesharamba asali tayari, ametulizwa. Hubu tusemeni jamani, ni kawaida ya mbowe hii kweli, hata tweet kweli? kweli?
Kwa hiyo mnagawana Majimbo? Hii ni hatari kwa afya ya Tanzania maana haina utofauti na Viti Maalumkwani lazima Mbowe aongee?