Ukisikia kizabizabina ndio hiki. Unasema kuna matukio yametokea nchini lakini huyataji ili tuone kama yanakidhi kuitwa matukio yanayotaka Mbowe azungumze. Ukapaacha hapo!!
Ukarukia "duru" zinasema ....... na hata usitaje duru hizo ni zipi. Duru huwa si mawazo binafsi, ni vyombo vya habari kama magazeti, redio, televisheni, intaneti na wasemaji.
Jielekeze zaidi kwenye chuki yako - muulize tu Mbowe swali ambalo litaonesha amelambishwa asali kwa jinsi akavojibu. Hiyo ndio njia sasa na nia safi!!