Mbona michel tu huyu nae mnamjua? Cameroon first lady!

Mbona michel tu huyu nae mnamjua? Cameroon first lady!

3461775180_135656c804_o.jpg
HUYU FISRT LADY WA Swaziland

hivi mswati ni wa wapi?
 
Ila wajameni huyu festi ledi anajua kujitunza, akapendeza, akameremeta, akavutia, akatamanisha, mi nshamtamani ati!!
 
yupi wa swazland au cameroon?
Ila wajameni huyu festi ledi anajua kujitunza, akapendeza, akameremeta, akavutia, akatamanisha, mi nshamtamani ati!!
 
Ila yuko 'busy'! lakini makosa yangu binadamu mie, akiwa mbaya maneno, akiwa mzuri maneno, hakuna kuridhika kabisa!
 
kajichubuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mpaka anaboa!
 
Ila yuko 'busy'! lakini makosa yangu binadamu mie, akiwa mbaya maneno, akiwa mzuri maneno, hakuna kuridhika kabisa!

ndo kawaida yetu binadamu ukiwa mrefu tutasema ww ni mrefu, ukiwa mfupi tutasema ww ni mfupi, na usipokuwa mrefu au mfupi bado tutasema mbona ww si mrefu wala si mfupi
 
oooh huyu madame kanivutia naona anajipenda kujikwatua ukiangalia na ka umri
huyu ndo Firslady wa wapi?

Na hizo nywele ni zake, mbona wa USA havai minywele bandia? what is wrong??????????
 
3460958489_de540787df_o.jpg
HUYU NI FIRST LADY WA LESOTHO

Real african first lady. Wa mwonekano huu lazima umheshimu tu-sister au mama mchungaji kutoka Mbeya!!!!
si kama huyo wa kitwanga pepete pepeta
 
nimemfananisha na yule mama wa wa kwenye the bold and the beutiful (RIP)
 
Back
Top Bottom