Mbona michel tu huyu nae mnamjua? Cameroon first lady!

Mbona michel tu huyu nae mnamjua? Cameroon first lady!

3461775180_135656c804_o.jpg
HUYU FISRT LADY WA Swaziland

Umechemsha!! Huyu ni tenth Lady wa Swaziland
 
kwenye casual events kama kwenye bembea jamaica alivaa nguo za kitenge ambazo ni official wears.. Angejiweka ki bembea zaidi.
Uzuri wa sura anao..ila pamba akajifunze kwa michelle obama

Ndugu, usije ukawa unamuonea bure, kwani alipata taarifa mapema kama kuna kwenda kubembea? Labda angejiandaa kibembea bembea. Labda bi Salma anavaa anavyovaa kutegemea na culture (kuna aspects nyingi hapa) yake, kwa hiyo akitoka ki-Michelle itakuwa mtafaruku!
 
Real african first lady. Wa mwonekano huu lazima umheshimu tu-sister au mama mchungaji kutoka Mbeya!!!!
si kama huyo wa kitwanga pepete pepeta

Huyu ndo Pinda au Mama Maria nyerere wa huko! Tamaa nyuma......
 
Ndugu, usije ukawa unamuonea bure, kwani alipata taarifa mapema kama kuna kwenda kubembea? Labda angejiandaa kibembea bembea. Labda bi Salma anavaa anavyovaa kutegemea na culture (kuna aspects nyingi hapa) yake, kwa hiyo akitoka ki-Michelle itakuwa mtafaruku!

You are right Dina! Hata huyo Michelle mwenyewe siku ya kwanza kutoka kikaputula ilikuwa mtafuruku!
 
I said sijui ni wangapi but she is recognized as first lady

Huyo aliyelala nae usiku huo ndo huwa first lady wa siku! Kama hiyo picha uliipata jana basi leo kuna first lady mwingine!!
 
Huuhuuuuuuuuu!

Msiimwingize humu kwenye kinyang'anyiro mswati;Mswati ni habari nyingine!

Ila kwakweli Mama Salma ni role model kwa hao wote; na nakubaliana nanyi anatuwakilisha Watanzania vilivyo; just imagine Raisi wetu kuwa na Mke kama Chantal .............
 
IMG_8776-wama+sherry+party.jpg
mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Mama Salma anawakilisha mama zetu wote wa Kitanzania

Oneni huyo mke wangapi cjui wa mswati alivyovaa; I mean ameyaboost as if naye model wa kampuni ya mavazi ya sidiria! Labda kwake c muhimu kwani anajijua yeye ni namba 10!

Guyz there has to a distinction; ukishakuwa public figure kuna limitations na image unazotakiwa kuportray!

Mama yetu hana huo upuuzi ; anathamini na kuibeba vyema nembo yetu ana kwake yeye anauwakilisha utakatifu wa Ikulu!

Big up sana Mama!
 
haiwezekana akawa amezaliwa mwaka 71 mbona kazeeka mapema kiivyo?

mumewe kazaliwa 13 February 1933!

si unajua ukitumia zaidi "protein" za kizee nazo zinakuzeesha.

au ndio yale wasemayo kwamba wanandoa mkiishi pamoja zaidi ya miaka
kumi mnaanza kufanana sasa labda genes za mzee mzima zina nguvu
kuliko za wife hivyo wife anakimbilia "kumfanana" lol
 
Umechemsha!! Huyu ni tenth Lady wa Swaziland

Huyu naye ni queen Mswati. Kajamaa kako fiti kwa kuchagua.
alikuwenda naye katika inaguration ya tsivangirai wanaume waliweweseka!!!!!!!
 

Attachments

  • queen-mswati.jpg
    queen-mswati.jpg
    26.2 KB · Views: 59
Na Swaziland imo kwenye list ya nchi zenye maambukizi makubwa ya UKIMWI sijui kama hizi datta zimebadilika kwa sasa
 
Back
Top Bottom