mafuta malibate
Member
- Sep 6, 2017
- 38
- 9
Dogo janja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo janja ni muiraq hivyo ni manyara.Hussein machozi,Songa singidaKwakuchukulia muktadha huo huo, ni yupi wa mkoa wa Rukwa? Ni yupi wa mkoa wa Manyara? Ni yupi wa mkoa wa Singida?
Kiboroloni sio Rombo mkuuHivi na yule aliyetoka mitaa yenu kdc kiboroloni kapotea wapi.yule aliimba"shirima alikuepo .masawe alikuepo ,Kimaro alikuepo,kavishe alikuepo.tulikunywa tulikunywa tulikunywa.tukalewa tukalewa tukalewa.
Kwann?Muhaya raisi haitatokea milele
Wewe ni Mungu? kwa akili za namna hii hatutapata maendeleo mpaka kiamaMuhaya raisi haitatokea milele
TID sio Zenji kweli mkuu au kachanganya na huko pia?!Jay Moe, Juma nature, Jafaray, TID, KR Mullah, Inspector Haruni, Pasha, Isabela Mpanda hao wote wana asili ya Lindi au Mtwara
Mkuu hebu nifahanishe kidgo hapo...young d asili yake Ni mbeya kweli?Hivi wasanii wanaotokea kigoma ndo wapi hao kina diamond,Alikiba,Abdu kiba,Recho,Banana Zorro,Qeen Darline etc waliozaliwa na kukulia Dar? Mbona km ndo hivyo basi young D atakuwa wa Mbeya.Joh Makin & Nikki 2,Aika,Ney wa mitego Kilimanjaro.Jokate Songea.Darasa Tabora kama ndo hivyo kila mkoa una wasanii km issue ni asili
Ni kweli dogo Ana asili ya mbeya anasemaga sana kwenye interview zake.hata kuna ngoma moja aliwahi sema iko kitu sema nimeisahau jinaMkuu hebu nifahanishe kidgo hapo...young d asili yake Ni mbeya kweli?
Prof jay mikumi moro weweNurah wa shinyanga.prof jay Songea.wema ssingida.masanja iringa.Wapo wengi wa hiyo mikoa ambayo hauwasikii isipokua wengine hawapend kwao wanataka waonekane wa darisalama
Bila kusahau nay wa mitego, mh. Temba, barnaba boy kilimanjaroBilnass, rosaria,mr.nice Rombo moja hiyo
Hiyo mikoa uliyoitaja hapo haijawai kutoa RaisMkuu sijui nichangie vipi ila hakuna mikoa iliyotoa wasanii wa vigodoro kama Dar na Moro.
Hakuna mikoa iliyotoa viongoz kama Mbeya,Kagera ,Kilimanjaro na Mwanza.
Hakuna media iliyotoa changamoto kwa serikali kama JF.
Hakuna mwana JF anayevuma kama BINJO hah hah hah hah wacha nisubirie povu.
TID hana uzanzibar chinga lile na Jux nilishasikia vile vileTID sio Zenji kweli mkuu au kachanganya na huko pia?!
Halafu ktk list ya wa kusini nackia na Juma Jux nae yupo cna uhakika lkn...ila hao wote washakuwa wa darusalaam,uko makwao inabaki asili tu
Apana asili yake Songea.kua .mbunge wa mikumi haimaanishi ndo asili yake.angalia jina tu Joseph hauleProf jay mikumi moro wewe
Oooh sikusoma vizuri Mkuu kumbe post inazungumzia mikoa iliyotoa Raisi ok!Hiyo mikoa uliyoitaja hapo haijawai kutoa Rais