Mbona mikoa mingine haitoi wasanii kwenye tasnia ya burudani?

Mbona mikoa mingine haitoi wasanii kwenye tasnia ya burudani?

Ney Wa Mitego= Kilimanjaro
Vanesa Mdee= Kilimanjaro
Mr. Nice= Kilimanjaro
Rich Mavoko= Kilimanjaro
Mhe. Temba= Kilimanjaro
Joh Makini= Kilimanjaro
Niki Mbiishi= Kilimanjaro
Snura Mushi= Kilimanjaro
Jacob Steven= Kilimanjaro
Kishoka= Kilimanjaro.
Mavoko ni wa Moro town mkuu,au upande mmoja ni wa kilimanjaro?
 
TID hana uzanzibar chinga lile na Jux nilishasikia vile vile
mh,mkuu na vipi kuhusu ule wimbo wake wa "Siamini" ambapo anajinadi kuwa anatoka Zanzibar lkn pia kweny ule wimbo wa "Mahaba ya Dhati" ambapo kuna mstari anasema "uje nikupe mapenzi ya kwetu Pembaa"

Bado unanipa kigugumizi mkuu...!
 
Ney Wa Mitego= Kilimanjaro
Vanesa Mdee= Kilimanjaro
Mr. Nice= Kilimanjaro
Rich Mavoko= Kilimanjaro
Mhe. Temba= Kilimanjaro
Joh Makini= Kilimanjaro
Niki Mbiishi= Kilimanjaro
Snura Mushi= Kilimanjaro
Jacob Steven= Kilimanjaro
Kishoka= Kilimanjaro.
Mavoko - Moro
Nikki Mbishi - Musoma
 
Hivi wasanii wanaotokea kigoma ndo wapi hao kina diamond,Alikiba,Abdu kiba,Recho,Banana Zorro,Qeen Darline etc waliozaliwa na kukulia Dar? Mbona km ndo hivyo basi young D atakuwa wa Mbeya.Joh Makin & Nikki 2,Aika,Ney wa mitego Kilimanjaro.Jokate Songea.Darasa Tabora kama ndo hivyo kila mkoa una wasanii km issue ni asili
Young D wa KAJUNJUMELE KYELA MBEYA ILA AMEKULIA DAR
 
Iringa ina msanii kweli
Marrow Aliyeimba ''Bembeleza'' na Mike T Aliyeimba '' Mike T Ningekuwa Star'' huwatambui?

Na Tancut Almas ulishawahi isikia hiyo Band ya Iringa...

Wasanii wapo kila Mkoa naona Dhambi ya Ubaguzi inashika kasi.
 
Kamikaze Cyril=Singida
Best Nasso=Musoma town
Chief Maker=Rukwa
Duh ndio watu gani hao mkuu au ndio wasiojulikana wameanza kujulikana? usilete wale wa HAwavumi lakini wapo?
 
Hivi na yule aliyetoka mitaa yenu kdc kiboroloni kapotea wapi.yule aliimba"shirima alikuepo .masawe alikuepo ,Kimaro alikuepo,kavishe alikuepo.tulikunywa tulikunywa tulikunywa.tukalewa tukalewa tukalewa.


Watoto wanamtambua Kupitia Ubongo kids, anatambulika Kama Anko T
 
hao wote wametoka mikoani na kwenda kurundikana dar, hakuna mwenye asili ya dar, wote ni wa mikoani hao
 
Ila kiukweli Kigoma ndio inaongoza kutoa wasanii wengi na wazurii..
Listi ya Mikoa inayotoa wasanii
1. Kigoma
2. Mwanza
3. Tanga
4. Arusha
6. Moro
7. kilima..
8. Mbeya

Endeleeni..
 
Marrow Aliyeimba ''Bembeleza'' na Mike T Aliyeimba '' Mike T Ningekuwa Star'' huwatambui?

Na Tancut Almas ulishawahi isikia hiyo Band ya Iringa...

Wasanii wapo kila Mkoa naona Dhambi ya Ubaguzi inashika kasi.
ongezea na hawa
1)Beka zebrone(cjui kama nimepatia)ila ni yule aliyeimba Natumaini Rmx
2)Estellina Sanga aka Linnah Sanga
 
Duh ndio watu gani hao mkuu au ndio wasiojulikana wameanza kujulikana? usilete wale wa HAwavumi lakini wapo?
mmh,mkuu hapo kidogo lbd kwa huyo chief maker,bt best nasso na kamikaze mbona wanajulikana kimtindo japo suala la nyota ndo limewatupa kdg!
 
Back
Top Bottom