Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Hapo juu ni pesa alizokutwa nazo mwanadada Eva Kaili aliekuwa makamu rais wa bunge la EU.
Eva Kalili alikuwa mmoja kati ya watano waliokamatwa katika sakata hili linalohusu kupokea rushwa kutoka katika serikali ya Qatar ili wawa peti peti Qatar katika umoja wa ulaya na kuinfluence umoja wa EU for their own good.
Hapa chini ni moja ya hotuba ya eva kalili akiwatetea Qatari katika moja ya kikao E.U.
View: https://youtube.com/shorts/jMN7wre9UY8?si=lDFoGnGvm8H97DiA
Kumbe mamaa alikuwa na kibunda tayari hahahah