Mbona mlikaa kimya sakata la rushwa ya Qatar kwa maafisa wa E.U au kwa sababu haikuwa Israel au U.S.A

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715


Hapo juu ni pesa alizokutwa nazo mwanadada Eva Kaili aliekuwa makamu rais wa bunge la EU.

Eva Kalili alikuwa mmoja kati ya watano waliokamatwa katika sakata hili linalohusu kupokea rushwa kutoka katika serikali ya Qatar ili wawa peti peti Qatar katika umoja wa ulaya na kuinfluence umoja wa EU for their own good.

Hapa chini ni moja ya hotuba ya eva kalili akiwatetea Qatari katika moja ya kikao E.U.


View: https://youtube.com/shorts/jMN7wre9UY8?si=lDFoGnGvm8H97DiA
Kumbe mamaa alikuwa na kibunda tayari hahahah
 
What the fuc is “israel and usa”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…