Mbona Mzee wa Komesho(AY) hakumualika Crazy GK kwenye harusi yake?

Umejitahidi kuandika lakini kuna vitu vichache sikubaliani na maelezo yako especially kuhusu aina ya nyimbo ambazo umesema ndio style ya uandishi na uimbaji wa GK,
Sio kweli kwamba nyimbo zake zilikuwa za kibabe au ukorofi, GK ni moja Kati ya wasanii ambao walikuwa na flexibility sana kwenye utunzi, ameandika nyimbo nyingi sana zenye maudhui tofauti tofauti kama ulibahatika kusikiliza album yake ya kwanza iliyokuwa inaitwa 'mama' utakubaliana na mimi, humo kuna nyimbo tamu kama tutakukumbuka, hii leo, miko kumi ya rap, mama, ni saa mbaya sasa na nyingine nyingi.
Lakini pia album yake ya pili 'Nitakufaje' kuna nyimbo zenye maudhui tofauti tofauti, unaanzaje kutokukubali ngoma kama sauti ya manka au simba wa Afrika, au kosa langu.
Usimwangalie GK Kwa upande mmoja tuu kwenye nyimbo za battle kama, hii leo, ama zangu ama zao, Itikadi, Wamejichanganya au Piga manati.
From a die hard fan of ECT since day one.
Correct me where am wrong
 
Alialikwa bana ila sema tu kama kawaida yake sijui ni bange,wanzie wamevaa suti ye kaenda amevaaa ni nguo ya mazoezi ile
 

teh teh teh
huyo ndiyo Maka!
😀😀😀
 
Piga Manati dude la maana sana.. nalisikiliza mpaka leo hii!!
 
uyo mwenye uwezo yuko wapi sasa hv!!? maana amejitahd sana kurud kwenye game ila anashindwa
Tanzania msanii akiwa genuine atafanikiwa ki muziki tu lakini si kimaisha/pesa, GK ni mwana HIP POP harisi hivyo watu wa haina hii huwa hawana sifa ya kuhonga media ili ziwape promo au kufanya matukio ya ajabuajabu ili kupata kiki. Najua GK hakubali kazi ya kuwa punda wa kusafirisha unga kama walivyo bongo freva wengi.
 
Jamani acheni porojo,kama jambo huna uhakika nalo tuliza mtima.na ufanye uchunguzi kabla hujakurupuka, Gk alialikwa na alikuwepo mwanzo mwisho
 
Kilichomfanya asionekane pale mbele nadhani ni kutokuwa na suti.
 
Ila GK kachoka sana sijui ni drugs user?
Jamaa atakuwa anatumia madude ...ndio maana anashindwa hata kurejea kwenye main stream halafu bado anaitikadi zaki zamani za ule usela mavi ..daahh maskini kipaji kimepotea
 
mkuu tukubali ama tukatae ..GK ni bonge LA raper Jamaa anajua mnooo aisee na kuonyesha hilo hata album yake ya nitakupa nini mama ndiyo iliwahi kuwa album bora ya mnamo mwaka 2003
albuma ilikuwa imeshiba hits kibao ..kama sister sister .tutakukumbuka daima milele etc Jamaa alikuwa anajua mnooo nails style yake yakuflow kama dmx ...kikichompoteza gk ..NI vision 0 ambazo anazo mpka leo kuhusu maisha bado anausela mavi mwingi mnooo mtu wa ndumu kwasana ..hajui anapaswa kufnya nni ktika maisha ..wenzake wana potensal ykutosha wanajua nini wanatka apart from music na kujua music sio ndio kila kitu ..kama unakipaji tu then hujui namna ykukitumia vyema ilikuweza kuyafikia malengo makubwa nikazi Bure tu
 
Acheni Uzushi.
Aisee wabongo linapokuja suala la dressing code, bado sana at least hapo B12 ndio alijua anaenda wapi na kwaajili ya nini, the rest....fankuro papiato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…