Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko wapi sasa kimafanikio mkuu?Hatahivyo uwezo wa GK katika utungaji wa mashairi na uchanaji uko juu sana kwa kulinganisha na hao matoz 2 wanaishi kwa maigizo.
Mzuqa SIZONJE's slaves!
Kwani crazy GK aliwakosea nini AY na Mwana FA? Walikuaga Benet Sana. Hata kwenye harusi wamemtenga.
Harusi ya AY iliyofanyika Golden Tulip
Umejitahidi kuandika lakini kuna vitu vichache sikubaliani na maelezo yako especially kuhusu aina ya nyimbo ambazo umesema ndio style ya uandishi na uimbaji wa GK,Yupo wapi sasa huyo GK? Halafu uwe unapunguza masikhara, maana katika wale vijana kila mtu alikua na style yake na kila mtu alikua anajitungia mashairi ya sehemu yake.
Gwamaka Kalihura a.k.a GK alikua na style yake iliyokua ina ficha na kubalance hali yake ya kigugumizi, pia iliyokua ina akisi mitazamo yake ya kupenda ugomvi na ubabe na matusi mengi. Hata majina aliyojiita yalionyesha ni mtu wa aina gani au aliyependa hali gani au aliyependa kuonekanaje. Ndiyo maa akawa anajiita King Crazy GK, Amiri jeshi mkuu, Bokasa etc
Wakati Ambwene Yessaya (AY) yeye alikua hana muda wa kuonya au kuelimisha au kutisha mtu kwenye mashairi yake, yeye aliamua kuja na mashairi yanayolenga ku burudisha zaidi. Yeye alipokua akitunga mashairi anafikiria zaidi jinsi watu watakavyo kuwa wana swing na party huko club na ndiyo maana aliamua kujiita Mzee wa Commercial.
Khamis Mwinjuma,a.k.a Mwanafalsa baadaye Mwana Fa, yeye alikuja na style ya mashairi ya kufikirisha zaidi, yenye nasaha, elimu, ya hali ya juu ambayo yamefungwa fungwa katika mfumo wa lugha unaohitaji kutuliza akili ili kumuelewa. Mashairi hasa ambayo yanahitaji uelewa katika usanifu wa kiswahili. Na mfumo wa utunzi wa kiswahili uliathiriwa na kuwa shaped na tabia yake ya tangu anakua ya kupenda kusoma na kuandika mashairi (Malenga).
Hawa vijana kila mmoja alikua na wapenzi wake ingawa Mwana Fa ndiye alikua na maneno yaliyokaa vichwani mwa watu wa Marika yote ingawa siku zote ilikua ngumu kuimba au kuyakarili mashairi yake zaidi ya kuyafurahia aimbapo alikua na misamiati iliyoishi kwa muda mrefu vichwani mwa watu na ndani ya jamii.
Unaposema GK ndiye alikua na uwezo mkubwa kuliko wengine wote katika lile kundi lao, unakua umenionyesha wewe ni mtu wa aina gani, yaani ni mtu wa kubutua butua, piga mitama, ng"ado kwa ng'ado, mtaa kwa mtaa, utawachinja kama bokasa, amiri jeshi mkuu umesha lianzisha....yaani mtu wa hivyo.
Ile East Coast ilijulikana kuwa ni ya watoto wa Upanga. GK akawazunguka wenzake, yeye na demu wake wakasajiri kampuni (East Coast Team) na wao wakawa ndiyo wamiliki huku wenzao wakiwa vibarua. Baadaye jamaa ndiyo wakazinduka usingizini na kujitenga naye mazima.
Gk na yeye apunguze usela cheki hapo wenzie wote wamekula majumba yeye katokea kibitoz na pombe mkononiAcheni Uzushi.
Piga Manati dude la maana sana.. nalisikiliza mpaka leo hii!!Umejitahidi kuandika lakini kuna vitu vichache sikubaliani na maelezo yako especially kuhusu aina ya nyimbo ambazo umesema ndio style ya uandishi na uimbaji wa GK,
Sio kweli kwamba nyimbo zake zilikuwa za kibabe au ukorofi, GK ni moja Kati ya wasanii ambao walikuwa na flexibility sana kwenye utunzi, ameandika nyimbo nyingi sana zenye maudhui tofauti tofauti kama ulibahatika kusikiliza album yake ya kwanza iliyokuwa inaitwa 'mama' utakubaliana na mimi, humo kuna nyimbo tamu kama tutakukumbuka, hii leo, miko kumi ya rap, mama, ni saa mbaya sasa na nyingine nyingi.
Lakini pia album yake ya pili 'Nitakufaje' kuna nyimbo zenye maudhui tofauti tofauti, unaanzaje kutokukubali ngoma kama sauti ya manka au simba wa Afrika, au kosa langu.
Usimwangalie GK Kwa upande mmoja tuu kwenye nyimbo za battle kama, hii leo, ama zangu ama zao, Itikadi, Wamejichanganya au Piga manati.
From a die hard fan of ECT since day one.
Correct me where am wrong
Tafuta YouTube goma jingine linaitwa wamejichanganya.Piga Manati dude la maana sana.. nalisikiliza mpaka leo hii!!
DuhAcheni Uzushi.
Tanzania msanii akiwa genuine atafanikiwa ki muziki tu lakini si kimaisha/pesa, GK ni mwana HIP POP harisi hivyo watu wa haina hii huwa hawana sifa ya kuhonga media ili ziwape promo au kufanya matukio ya ajabuajabu ili kupata kiki. Najua GK hakubali kazi ya kuwa punda wa kusafirisha unga kama walivyo bongo freva wengi.uyo mwenye uwezo yuko wapi sasa hv!!? maana amejitahd sana kurud kwenye game ila anashindwa
Jamaa atakuwa anatumia madude ...ndio maana anashindwa hata kurejea kwenye main stream halafu bado anaitikadi zaki zamani za ule usela mavi ..daahh maskini kipaji kimepoteaIla GK kachoka sana sijui ni drugs user?
mkuu tukubali ama tukatae ..GK ni bonge LA raper Jamaa anajua mnooo aisee na kuonyesha hilo hata album yake ya nitakupa nini mama ndiyo iliwahi kuwa album bora ya mnamo mwaka 2003Mkuu kwenye mashairi na kutunga hamna anayenkuta mwana FA,GK na kigugumizi chake hamna kitu,halafu maproducer wachache sana walioweza kumrekodia kutoka na na kigugumizi,P-Funk pekee ndo alikuwa anaweza,ndo maana pfunk alipoyumba kwenye uproducer Gk naye akapotea
Aisee wabongo linapokuja suala la dressing code, bado sana at least hapo B12 ndio alijua anaenda wapi na kwaajili ya nini, the rest....fankuro papiato.Acheni Uzushi.