Hebu mfano, angalieni suruali ya FA huko chini, as if alikuwa ameibana na rubber band ili mzingo usishuke. Kweli hiyo ndio hadhi ya Suti inavyotakiwa kuwa?wanadai ninile single ya
View attachment 701148 View attachment 701148 View attachment 701149 View attachment 701150
"Piga manati" na "Wamejichanganya", ni nyimbo zenye mashairi yanayofanana, kwa ki Latino wanasema (mutatis mutandis) kasoro ipo kwenye Beat tu. Fanya kuzitafuta na uzisikilize kwa umakini, utanambia.Tafuta YouTube goma jingine linaitwa wamejichanganya.
ECT for life
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
hahahanimependa salam yako!walah sie ni slaves kbs !
Yani Pajama si pajama kanyela mumo si kanyela mumo kha!Wenzie wamevaa suti, ye kavaa masurupwete yake kwenye harusi ya watu. Bora asingealikwa tu.
KwakweliAmetumia ule msemo wa BE DIFFERENT tusimpangie cha kuvaa kwani suti hana au hajui zinakopatikana? Ni mtu mzma labda kutokana na mishemishe zake aliona angechelewa kufika akaona mwana asiponiona atamaind ngoja nizame ki GK GK tu mbna Fresh
hahaas huyo gk sasa ..kweli majina mengine ambayo huwa wanajipachika vijana huwa yana athiri mienendo ya Tabia ..kaenda kwenye harusi kama yupo kwenye bonanzaAisee wabongo linapokuja suala la dressing code, bado sana at least hapo B12 ndio alijua anaenda wapi na kwaajili ya nini, the rest....fankuro papiato.
Kuna verse ziko sawa especially verse ya lady slay, utofauti ni kwenye verse ya GK na verse ya sherif plus chorus, so tunaweza sema piga manati ilikuwa modification ya wamejichanganya, lakini pia wamejichanganya ilikuwa only video tena unofficial na piga manati was an official audio."Piga manati" na "Wamejichanganya", ni nyimbo zenye mashairi yanayofanana, kwa ki Latino wanasema (mutatis mutandis) kasoro ipo kwenye Beat tu. Fanya kuzitafuta na uzisikilize kwa umakini, utanambia.
Wewe ulikuepo? Mona Gk alikuepo?Mzuqa SIZONJE's slaves!
Kwani crazy GK aliwakosea nini AY na Mwana FA? Walikuaga Benet Sana. Hata kwenye harusi wamemtenga.
Harusi ya AY iliyofanyika Golden Tulip
Nitake radhi mkuu
Mtoa post unaonekana ww ni mtu usiejulikana
Aiseee umenikumbusha hyoSauti ya Manka, kafanya nini kwani?
Kwenye ile crew niliwaelewa sana wote ila Buff G, na Snare ndio kama walikuwa wanafanya ni pay attention sana, na iliniuma sana kuona Snare akipotea kweny Game.Kuna verse ziko sawa especially verse ya lady slay, utofauti ni kwenye verse ya GK na verse ya sherif plus chorus, so tunaweza sema piga manati ilikuwa modification ya wamejichanganya, lakini pia wamejichanganya ilikuwa only video tena unofficial na piga manati was an official audio.
Die hard fan of ECT
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Mkuu you're seriously jamaa
For sure Snare was dope, alafu kwa mtu aliyefatilia CBM crew vizuri atagundua jinsi AY na Snare wanavyoimba wanataka kufanana flow ingawa flow za Snare ni hatari zaidiKwenye ile crew niliwaelewa sana wote ila Buff G, na Snare ndio kama walikuwa wanafanya ni pay attention sana, na iliniuma sana kuona Snare akipotea kweny Game.
Asingevaa hivyo nani angemzungumzia Leo, alafu hiyo picha yeye mwenyewe ndo alipost asubuhi kwenye account yake Instagram.Mkuu you're seriously jamaa
Ndo alikua hvo au n editing
"Twista style" is what made them to be identified soon, japo Snare ndio aliipatia sana, ukiongezea na writting style, then combinenga hiyo ndio ilifanya ECT iwe hotest kipindi kile.For sure Snare was dope, alafu kwa mtu aliyefatilia CBM crew vizuri atagundua jinsi AY na Snare wanavyoimba wanataka kufanana flow ingawa flow za Snare ni hatari zaidi
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Dhuuuuu aiseeeeAsingevaa hivyo nani angemzungumzia Leo, alafu hiyo picha yeye mwenyewe ndo alipost asubuhi kwenye account yake Instagram.
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Alialikwa bana..kuna picha kapiga yupo yeye (GK), B dozen, Salama na Prof Jay...ila jamaa kama kawaida alienda akiwa kavaa kofiaMzuqa SIZONJE's slaves!
Kwani crazy GK aliwakosea nini AY na Mwana FA? Walikuaga Benet Sana. Hata kwenye harusi wamemtenga.
Harusi ya AY iliyofanyika Golden Tulip
Kuna wimbo moja waliimba Nature ft AY, kabla ya AY kujiunga ECT, the song known as "Biashara ya Utumwa", daaaamn the pinch was Konyo (in Spanish)"Twista style" is what made them to be identified soon, japo Snare ndio aliipatia sana, ukiongezea na writting style, then combinenga hiyo ndio ilifanya ECT iwe hotest kipindi kile.