Mbona Mzee wa Komesho(AY) hakumualika Crazy GK kwenye harusi yake?

Hebu mfano, angalieni suruali ya FA huko chini, as if alikuwa ameibana na rubber band ili mzingo usishuke. Kweli hiyo ndio hadhi ya Suti inavyotakiwa kuwa?
Watu walikuwa wanatafuta sababu ya Rais kutotaka kusafiri nje, hivi mnakumbuka suti zake alizokuwa anavaa hasa kipindi baada ya kuapishwa? Hivi mnategemea angeenda na zile "nyanya puzo" zake nchi za watu huko?
 
Ametumia ule msemo wa BE DIFFERENT tusimpangie cha kuvaa kwani suti hana au hajui zinakopatikana? Ni mtu mzma labda kutokana na mishemishe zake aliona angechelewa kufika akaona mwana asiponiona atamaind ngoja nizame ki GK GK tu mbna Fresh
Kwakweli
 
Aisee wabongo linapokuja suala la dressing code, bado sana at least hapo B12 ndio alijua anaenda wapi na kwaajili ya nini, the rest....fankuro papiato.
hahaas huyo gk sasa ..kweli majina mengine ambayo huwa wanajipachika vijana huwa yana athiri mienendo ya Tabia ..kaenda kwenye harusi kama yupo kwenye bonanza
 
"Piga manati" na "Wamejichanganya", ni nyimbo zenye mashairi yanayofanana, kwa ki Latino wanasema (mutatis mutandis) kasoro ipo kwenye Beat tu. Fanya kuzitafuta na uzisikilize kwa umakini, utanambia.
Kuna verse ziko sawa especially verse ya lady slay, utofauti ni kwenye verse ya GK na verse ya sherif plus chorus, so tunaweza sema piga manati ilikuwa modification ya wamejichanganya, lakini pia wamejichanganya ilikuwa only video tena unofficial na piga manati was an official audio.
Die hard fan of ECT

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
.
5fd57c3174cefb74d5f631a980a67d6d.jpg
 
Kuna verse ziko sawa especially verse ya lady slay, utofauti ni kwenye verse ya GK na verse ya sherif plus chorus, so tunaweza sema piga manati ilikuwa modification ya wamejichanganya, lakini pia wamejichanganya ilikuwa only video tena unofficial na piga manati was an official audio.
Die hard fan of ECT

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Kwenye ile crew niliwaelewa sana wote ila Buff G, na Snare ndio kama walikuwa wanafanya ni pay attention sana, na iliniuma sana kuona Snare akipotea kweny Game.
 
For sure Snare was dope, alafu kwa mtu aliyefatilia CBM crew vizuri atagundua jinsi AY na Snare wanavyoimba wanataka kufanana flow ingawa flow za Snare ni hatari zaidi

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
For sure Snare was dope, alafu kwa mtu aliyefatilia CBM crew vizuri atagundua jinsi AY na Snare wanavyoimba wanataka kufanana flow ingawa flow za Snare ni hatari zaidi

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
"Twista style" is what made them to be identified soon, japo Snare ndio aliipatia sana, ukiongezea na writting style, then combinenga hiyo ndio ilifanya ECT iwe hotest kipindi kile.
 
Kuna wimbo moja waliimba Nature ft AY, kabla ya AY kujiunga ECT, the song known as "Biashara ya Utumwa", daaaamn the pinch was Konyo (in Spanish)
 
Back
Top Bottom