Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Watu wanaogopa kupotezwaSioni sauti ikipazwa au chochote kikizungumzwa kuhusu nchimbi.
Jamaa amepotea kama kuku na hakuna anayejali wala kunyanyua mdomo wake kuhoji alipo.
Huu ni usaliti wa hali ya juu watanganyika wamemuonesha nchimbi.
Hata Lissu kuwatetea watanzania wa kizazi Cha Sasa ni kama anapoteza muda.Sioni sauti ikipazwa au chochote kikizungumzwa kuhusu nchimbi.
Jamaa amepotea kama kuku na hakuna anayejali wala kunyanyua mdomo wake kuhoji alipo.
Huu ni usaliti wa hali ya juu watanganyika wamemuonesha nchimbi.
Well said.Hata Lissu kuwatetea watanzania wa kizazi Cha Sasa ni kama anapoteza muda.
Mtanzania akipata uhakika wa kula Milo mitatu na simba au yanga ashinde basi maisha kwake amemaliza.
Jamii kama hii kuitetea inahitaji Sana moyo.
Kwani chombo cha kuaminika TBC kinasemaje?Spinning code nyingi mno hadi tunamsahau.
Kuna uwezekano ka-Abdul kameshamuua.Sioni sauti ikipazwa au chochote kikizungumzwa kuhusu nchimbi.
Jamaa amepotea kama kuku na hakuna anayejali wala kunyanyua mdomo wake kuhoji alipo.
Huu ni usaliti wa hali ya juu watanganyika wamemuonesha nchimbi.
Familia ilitembelewa na Fwele boy imebidi i-mute tu hakuna namna.Wakati mwingine inakata stimu. Familia yenyewe imepiga kimya hawapigi mwano. Sasa sisi tufanyaje?
Siangaliagi uchafu huo mimiKwani chombo cha kuaminika TBC kinasemaje?
Naye soon atakata moto kama alivyokara moto baba yake.Kuna uwezekano ka-Abdul kameshamuua.