Mbona ni kama Wakenya wameshinda Tanzania akili?

Sun is Sun

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2024
Posts
1,254
Reaction score
2,014
Kama umewahi kuishi na Wakenya, utagundua wengi wao wana matumizi mazuri ya ubongo.

Je, Watanzania tunakwama wapi? Au kwa sababu lugha ya kujifunza ni Kiswahili? Au ni vichwa vyetu tu?
 
Yawezekana. Sisi uyakhe uyakhe, uvivu, kukariri elimu na kusababisha ukosefu wa uvumbuzi labda, narudia labda ndio kosa letu...
 
Nakubali
 
Kenyans are very strategic and confident. Haradu ukiwaangalia na kuwasikiliza huwazi amini
 
Back
Top Bottom