Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
Freedom of expression inasaidia sana kunoa bongoKama umewahi kuishi na Wakenya, utagundua wengi wao wana matumizi mazuri ya ubongo.
Je, Watanzania tunakwama wapi? Au kwa sababu lugha ya kujifunza ni Kiswahili? Au ni vichwa vyetu tu?
NakubaliKama umewahi kuishi na Wakenya, utagundua wengi wao wana matumizi mazuri ya ubongo.
Je, Watanzania tunakwama wapi? Au kwa sababu lugha ya kujifunza ni Kiswahili? Au ni vichwa vyetu tu?
TrueFreedom of expression inasaidia sana kunoa bongo
Kenyans are very strategic and confident. Haradu ukiwaangalia na kuwasikiliza huwazi aminiYawezekana. Sisi uyakhe uyakhe, uvivu, kukariri elimu na kusababisha ukosefu wa uvumbuzi labda, narudia labda ndio kosa letu...