Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
wafiraj wale unafikiri wana akili basi.. Na mbaya sana, haya mambo yao yatatengeza vikundi vya kigaidi, itafika mahala hujui nani kabebwa na askari nani kabebwa na waio julikana na nani kabebwa ma gaidi. Nimeona mahala jana mama Anna Tibaijuka kalisema hilo na hatari iliyopo mbeleniKwani huyo binti bado hajaonekana hadi leo?
Polisiccm sasa wanasaka vyeo na sifa kwa mgongo wa chademaAskari Polisi kwenye vichwa wamejaza mavii sasa hivi
Alafu hii vita ni ya wananchi na Serikali dhalimu ila nashangaa wao wamekaza kinoma ku deal na CDMPolisiccm sasa wanasaka vyeo na sifa kwa mgongo wa chadema
Polisiccm wanatumia fursa hii kuwaonea watu kuwabambikia kesi za uongo ili wapate Rushwa ni Uonevu wa kutisha kwa Amri za ccm iliyosheheni ushetani wa kutisha sasawafiraj wale unafikiri wana akili basi.. Na mbaya sana, haya mambo yao yatatengeza vikundi vya kigaidi, itafika mahala hujui nani kabebwa na askari nani kabebwa na waio julikana na nani kabebwa ma gaidi. Nimeona mahala jana mama Anna Tibaijuka kalisema hilo na hatari iliyopo mbeleni
Polisiccm wanasaka vyeo na sifa hataonekana mpaka wapandishwe vyeoKwani huyo binti bado hajaonekana hadi leo?