Mbona sielewi maisha yanavyoenda, wakuu, nyie mnaishi vipi mtaani?

Mbona sielewi maisha yanavyoenda, wakuu, nyie mnaishi vipi mtaani?

Huku mtaani kila mtu anaona bora mwenzie.. Mkuu wenyewe tuna shida tena sana ila hatuna mayowe kama wewe
Kweli Kabisa hali sio nzuri, kipato ni kidogo kuliko matumizi
 
Back
Top Bottom