Mbona sisikii tena kauli mbiu ya Hapa kazi Tu?

tufahamishane

Member
Joined
Jun 22, 2024
Posts
28
Reaction score
30
Hivi ile kauli mbiu ya awamu ya Tano hapa kazi tu ilienda wapi ilifia wapi? Mbona siku hizi siisikii popote?

Hii kauli mbiu hapa kazi tu iliasisiwa na kipenzi cha wa Tanzania JPM ili kuwa kauli ya uhamasishaji na waliitendea kazi kweli kweli. Jamani anayejua ilipo ajitokeze a niambie hapa kazi tu iko wapi
 
Hivi ile kauli mbiu ya awamu ya Tano hapa kazi tu ilienda wapi ilifia wapi? Mbona siku hizi siisikii polite?
Hii kauli mbiu hapa kazi tu iliasisiwa na kipenzi cha wa Tanzania JPM ili kuwa kauli ya uhamasishaji na waliitendea kazi kweli kweli. Jamani anayejua ilipo ajitokeze a niambie hapa kazi tu iko wapi
Hivi ile kauli mbiu ya awamu ya Nne 'Hari mpya , Nguvu mpya na Kasi mpya' ongezea na 'Ajira kwa wote' ilienda wapi ilifia wapi..? Mbona siku hizi siisikii tena..?

Jiongeze kijana...
Ile ni kauli mbiu ya JPM, now tupo na SAMIA na kauli mbiu ya 'KAZI IENDELEE'.
 
Hivi ile kauli mbiu ya awamu ya Tano hapa kazi tu ilienda wapi ilifia wapi? Mbona siku hizi siisikii popote?

Hii kauli mbiu hapa kazi tu iliasisiwa na kipenzi cha wa Tanzania JPM ili kuwa kauli ya uhamasishaji na waliitendea kazi kweli kweli. Jamani anayejua ilipo ajitokeze a niambie hapa kazi tu iko wapi
Ina maana hujui kama kila Raisi anakuja na kauli mbiu yake? 😳
 
Hivi ile kauli mbiu ya awamu ya Nne 'Hari mpya , Nguvu mpya na Kasi mpya' ongezea na 'Ajira kwa wote' ilienda wapi ilifia wapi..? Mbona siku hizi siisikii tena..?

Jiongeze kijana...
Ile ni kauli mbiu ya JPM, now tupo na SAMIA na kauli mbiu ya 'KAZI IENDELEE'.
Mkuu umejibu vuema sana! Shukrani!!!
 
Hivi ile kauli mbiu ya awamu ya Nne 'Hari mpya , Nguvu mpya na Kasi mpya' ongezea na 'Ajira kwa wote' ilienda wapi ilifia wapi..? Mbona siku hizi siisikii tena..?

Jiongeze kijana...
Ile ni kauli mbiu ya JPM, now tupo na SAMIA na kauli mbiu ya 'KAZI IENDELEE'.

I'd think everyone on JF knows this kumbe lah! Safari bado ndefu
 
Hivi ile kauli mbiu ya awamu ya Tano hapa kazi tu ilienda wapi ilifia wapi? Mbona siku hizi siisikii popote?

Hii kauli mbiu hapa kazi tu iliasisiwa na kipenzi cha wa Tanzania JPM ili kuwa kauli ya uhamasishaji na waliitendea kazi kweli kweli. Jamani anayejua ilipo ajitokeze a niambie hapa kazi tu iko wapi
Ila mabango bado yapo
 
Kiukweli mtoa mada umedhalilisha sana jf kuinekana kumbe vilaza wapi humu. Anyway kauli mbiu nzuri ilikuwa ya membe "kazi na Bata"
 
Hivi ile kauli mbiu ya awamu ya Nne 'Hari mpya , Nguvu mpya na Kasi mpya' ongezea na 'Ajira kwa wote' ilienda wapi ilifia wapi..? Mbona siku hizi siisikii tena..?

Jiongeze kijana...
Ile ni kauli mbiu ya JPM, now tupo na SAMIA na kauli mbiu ya 'KAZI IENDELEE'.
Ya Samia ni kula kwa urefu wa Kamba yako
 
Hivi ile kauli mbiu ya awamu ya Tano hapa kazi tu ilienda wapi ilifia wapi? Mbona siku hizi siisikii popote?

Hii kauli mbiu hapa kazi tu iliasisiwa na kipenzi cha wa Tanzania JPM ili kuwa kauli ya uhamasishaji na waliitendea kazi kweli kweli. Jamani anayejua ilipo ajitokeze a niambie hapa kazi tu iko wapi
Jamaa una dhihaka sana aisee
 
Vile viwanda 6,000 alivyotangaza magufuli kuwa tumevijenga umewahi kuona hata kimoja?
 
Nchi ilichangamka sana those days. Ilikuwa ukisikia Rais kasimama sehemu anahutubia nchi nzima inasimama. Basi jiwe anafanya yake huko wenye kutukanwa watatukanwa, wenye kufukuzwa watafukuzwa

Alafu anamalizia na kibwagizo chake "au nasema uongo ndugu zangu ?"😂
 
Hivi ile kauli mbiu ya awamu ya Tano hapa kazi tu ilienda wapi ilifia wapi? Mbona siku hizi siisikii popote?

Hii kauli mbiu hapa kazi tu iliasisiwa na kipenzi cha wa Tanzania JPM ili kuwa kauli ya uhamasishaji na waliitendea kazi kweli kweli. Jamani anayejua ilipo ajitokeze a niambie hapa kazi tu iko wapi
Kazi zishapatikana susbiria 2025
 
Hivi ile kauli mbiu ya awamu ya Tano hapa kazi tu ilienda wapi ilifia wapi? Mbona siku hizi siisikii popote?

Hii kauli mbiu hapa kazi tu iliasisiwa na kipenzi cha wa Tanzania JPM ili kuwa kauli ya uhamasishaji na waliitendea kazi kweli kweli. Jamani anayejua ilipo ajitokeze a niambie hapa kazi tu iko wapi

Hii ni awamu ya 6 .
Kazi iendelee
 
Back
Top Bottom