Mbona sisikii tena kauli mbiu ya Hapa kazi Tu?

Si ndo hii hii ya kazi iendelee au ww uko nchi gn
 
Hivi ile kauli mbiu ya awamu ya Tano hapa kazi tu ilienda wapi ilifia wapi? Mbona siku hizi siisikii popote?

Hii kauli mbiu hapa kazi tu iliasisiwa na kipenzi cha wa Tanzania JPM ili kuwa kauli ya uhamasishaji na waliitendea kazi kweli kweli. Jamani anayejua ilipo ajitokeze a niambie hapa kazi tu iko wapi
IMEBADILIKA INAITWA SASA HIVI "HAPA KUTEKANA TU?"
 
Hivi ile kauli mbiu ya awamu ya Tano hapa kazi tu ilienda wapi ilifia wapi? Mbona siku hizi siisikii popote?

Hii kauli mbiu hapa kazi tu iliasisiwa na kipenzi cha wa Tanzania JPM ili kuwa kauli ya uhamasishaji na waliitendea kazi kweli kweli. Jamani anayejua ilipo ajitokeze a niambie hapa kazi tu iko wapi
Kazi zinaendelea tangu tupate uhuru, kauli thabiti ninkazi iendelee
 
Hivi ile kauli mbiu ya awamu ya Tano hapa kazi tu ilienda wapi ilifia wapi? Mbona siku hizi siisikii popote?

Hii kauli mbiu hapa kazi tu iliasisiwa na kipenzi cha wa Tanzania JPM ili kuwa kauli ya uhamasishaji na waliitendea kazi kweli kweli. Jamani anayejua ilipo ajitokeze a niambie hapa kazi tu iko wapi
SASA HIVI KAULI MBIU YA SAMIA NI (HAPA UFISADI TU ) UFISADU UENDELEE
 
Back
Top Bottom