marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Salute :
Kwa muda mrefu sasa nimekua nikisikiliza maoni ya wadau mbali na viongozi wa nchi na soka nchini
Nilicho gundua ni kitu kimoja pale linapo kuja swala ambalo hata kipofu anaweza kuona kuwa ni la maendeleo kwenye soka letu hasa timu ya taifa na vilabu pendwa vya SIMBA na YANGA .
Lazima yaibuke mavikwazo kutoka serikalini au kwa wenyewe kwa wenyewe kuvuruga mvhakati ili turudi nyuma au tubaki tulipo
Tumeona kwa yanga unaweza ukavuta picha yanga ingekua wapi kama manji angekuwepo hado Leo??? lakini waliibuka wazee kama akili Mali wakavuruga vuruga mpaka skuizi yanga wamekua omba omba .
Haikuishia hapo timu ya taifa (taifa stars) ikafuzu afcon yakaanza Mara wachezaji kulipwa mgogoro Mara tuchangie timu mara bashite ndio awe in charge wa kamati ya ushindi dizain kama kuna kaa agenda kasiri hapa kati
Saivi simba ...hakuna asie ona maendeleo yaliyopo simba kwa sasa na upinzani alio toa club bingwa Africa
Cha ajabu anakuja kuibuka mzee type ile ile ya wakina akili Mali akiwa na confidence zotee anatingisha watu na hela zao na elemu zao nashangaa hawa watu huu ujasiri wanatoa wapi??
Kikicho nichosha zaidi ni hii ya waziri wetu wa michezo eti mtu mmoja asimiliki 49% kwenye club ni dhahili kwamba haitaki maendeleo ya soka nchini .....
KWANINI???? Kwani soka likikua hawata nufaika ..au soka likiendelea wao wataathilika nini
Ivi serikali wanatoaga Ruzuku huku kwenye hivi vilabu???
Au hawafaidiki na kukua kwa mapato ya vilabu hvi??
KWANINI HAWATAKI VIENDELEE???