MBONA SOKA LIKITAKA KUENDELEA VIKWAZO VINAKUA VINGI

MBONA SOKA LIKITAKA KUENDELEA VIKWAZO VINAKUA VINGI

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Salute :

Kwa muda mrefu sasa nimekua nikisikiliza maoni ya wadau mbali na viongozi wa nchi na soka nchini

Nilicho gundua ni kitu kimoja pale linapo kuja swala ambalo hata kipofu anaweza kuona kuwa ni la maendeleo kwenye soka letu hasa timu ya taifa na vilabu pendwa vya SIMBA na YANGA .

Lazima yaibuke mavikwazo kutoka serikalini au kwa wenyewe kwa wenyewe kuvuruga mvhakati ili turudi nyuma au tubaki tulipo

Tumeona kwa yanga unaweza ukavuta picha yanga ingekua wapi kama manji angekuwepo hado Leo??? lakini waliibuka wazee kama akili Mali wakavuruga vuruga mpaka skuizi yanga wamekua omba omba .

Haikuishia hapo timu ya taifa (taifa stars) ikafuzu afcon yakaanza Mara wachezaji kulipwa mgogoro Mara tuchangie timu mara bashite ndio awe in charge wa kamati ya ushindi dizain kama kuna kaa agenda kasiri hapa kati

Saivi simba ...hakuna asie ona maendeleo yaliyopo simba kwa sasa na upinzani alio toa club bingwa Africa

Cha ajabu anakuja kuibuka mzee type ile ile ya wakina akili Mali akiwa na confidence zotee anatingisha watu na hela zao na elemu zao nashangaa hawa watu huu ujasiri wanatoa wapi??


Kikicho nichosha zaidi ni hii ya waziri wetu wa michezo eti mtu mmoja asimiliki 49% kwenye club ni dhahili kwamba haitaki maendeleo ya soka nchini .....

KWANINI???? Kwani soka likikua hawata nufaika ..au soka likiendelea wao wataathilika nini


Ivi serikali wanatoaga Ruzuku huku kwenye hivi vilabu???

Au hawafaidiki na kukua kwa mapato ya vilabu hvi??

KWANINI HAWATAKI VIENDELEE???
 
Swala n kwamba kwanini MO anang'ang'nia Hati wakati yeye ni muwekezajii tuu[emoji848][emoji848]
 
Mimi ingawaje ni shabiki wa Simba lakini nasimama bega kwa bega kwa Mzee Kilomoni!

Babu Mzee Kilomoni popote ulipo, hao akina Magori wasikutishe! Huyo "Mpemba" kama anaona tubilioni 20 twake ni pesa ya maana, mwambie aanzishe timu yake, ebo! Au kama vipi akanunulie ufuta manake ndo biashara anayoijua lakini sio mpira!! Halafu babu nina nyepesi nyepesi hapa kwamba huyo jamaa,sijui Mo cjui nani sijui, anaitaka hiyo hati ili atumie jengo lenu mlilopata kabla yeye hajazaliwa ili alweke bond na kuchukua mkopo kwa ajili ya biashara zake! Tena msivyokuwa makini na huyo jamaa, hata hiyo timu yenu na yenyewe ataenda kuiweka bondi na kuchukulia mikopo manake ndo mchezo wake huyo, shauri yenu! Halafu Babu si unakumbuka jinsi huyo Magori alivyofanya ufisadi pale NSSF? Msipoangalia anaweza kuiuza timu yenu huyo, kwahiyo bora muitishe mkutano mkuu wa dharura wa wanachama ili kuinusuru timu yetu pendwa! Asitubabaishe bhana, Simba haiwezi kufa kwa kukosa tusenti twake, itisha mkutano tuje kumrarua!
 
Hii yote ni hofu ya CCM kutaka kuwaweka Watanzania wote kwenye kapu moja. Huu uamuzi kwa 100% ni wa kisiasa na woga wa CCM. Ila hapa wamebugi na aliyewapa ushauri huu kawaingiza chaka nene sana,huwezi ukawakata stimu karibu 50% ya raia unabaki salama.
 
Mimi ingawaje ni shabiki wa Simba lakini nasimama bega kwa bega kwa Mzee Kilomoni!

Babu Mzee Kilomoni popote ulipo, hao akina Magori wasikutishe! Huyo "Mpemba" kama anaona tubilioni 20 twake ni pesa ya maana, mwambie aanzishe timu yake, ebo! Au kama vipi akanunulie ufuta manake ndo biashara anayoijua lakini sio mpira!! tena Mzee Kilomoni mi nasema hivi! Halafu babu nina nyepesi nyepesi hapa kwamba huyo jamaa,sijui Mo cjui nani sijui, anaitaka hiyo hati ili atumie jengo lenu mlilopata kabla yeye hajazaliwa ili alweke bond na kuchukua mkopo kwa ajili ya biashara zake! Tena msivyokuwa makini na huyo jamaa, hata hiyo timu yenu na yenyewe ataenda kuiweka bondi na kuchukulia mikopo manake ndo mchezo wake huyo, shauri yenu! Halafu Babu si unakumbuka jinsi huyo Magori alivyofanya ufisadi pale NSSF? Msipoangalia anaweza kuiuza timu yenu huyo, kwahiyo bora muitishe mkutano mkuu wa dharura wa wanachama ili kuinusuru hiyo timu yetu pendwa! Asitubabaishe bhana, Simba haiwezi kufa kwa kukosa tujivincent vyake, itisha mkutano tuje kumtimulia mbali!
Wewe Watermelon FC kaa kuleeee
 
SIMBA ilikuwepo kabla ya Mo! Na itakuwepo baada! SIMBA ni kubwa kuliko Mo
Miaka 4 hamkuchukua ubingwa..nakushangaa una support kilomoni na kwa ukilaza wako unahisi hati ya jengo la kariakoo ni kitu kwa Mo,be sensible bro,the guy is a billionaire na waswahili kibao wanamiliki majengo huo mtaa...what is 2 billkon to Mo...simba ni demu anaemdharau danga anaempa kiburi mjini
 
Hapa ni mwendo wa kuwachochea tu kama tunavyowachochea ma-fisicm!!
Lakini ujue kuwa kilichopo nyuma ya hili ni woga wa CCM kuwadhibiti Watanzania, hivyo ujue likifanikiwa kwa Simba basi hata huko Yanga hamtabaki salama. Kwa sababu wanaelewa Simba na Yanga ndiyo Tanzania hivyo watafanya kila liwalo hizi block mbili zisiwe kikwazo kwa wao kubaki madarakani. Hii ni 100% move ya kisiasa, hivyo kama wewe ni mpenzi wa michezo na maendeleo ya mpira hili siyo la kulishabikia.
 
Mo atoe 10B,Bakhresa 5B,Magori 5B(alizochota NSSF)..mnalialia Nini?
 
Tatizo kuna baadhi ya watu Maisha yao hayawezi kwenda bila Simba au Yanga tena kwa mgongo wa unjanja ujanja ...wanaogopa uwekezaji ili kulinda masirahi yao... watu wanatengeneza jezi na vifaa vingine vya timu kinyemela..mapato ya mechi na timu hayana usimamizi wa kutosha...usajiri wa wachezaji usioeleweka ...kwao maendeleo ya Timu hayana nafasi sana....Timu zina umri wa miaka 80 hata sehemu za kufanyia mazoezi hazina...Leo wanapatikana watu wa kusaidia mpira uende mbele...vikwazo njaa kibao...Yetu macho.
 
Kuna watu wanategemea Simba na Yanga kuendesha maisha na dili nyingi za kihuni hawa hawatakubali hivi vilabu vipige hatua hata siku moja maana njaa itawaumbua huku uraiani.
 
Back
Top Bottom