Mbona Stori ya Tanzania kupewa Bilioni 2.6 na Marekani imeripotiwa sana. Kuna nini?

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Wakuu,

Sasa hivi ukiingia kwenye kila online media habari ni moja tu, Tanzania imepewa msaada na Marekani

Nakumbuka kipindi kile kipindi Seneti ya Marekani inajadili vikwazo vya Tanzania kwa Marekani media karibu zote za Bongo zilikuwa kimya including huyo anayejiita Miillard lakini leo tumepewa kiasi kidogo tu kila mtu anaripoti

Niseme tu, kwanza Bilioni 2.6 ni ndogo sana kwa taifa la watu Milioni 60. Hiyo hela ni sawa na kumpa dada wa mjini 10k kwa siku. Haimtoshi.

Kwa hiyo hiii kampeni yote ambayo inaendelea sasa, kupush hii agenda ni kujidhalilisha. Kitila alisema Tanzania kwa sasa tunajitegemea kwa 74% kwa nini mnashangilia kupata msaada wa USD Milioni 1?

Soma Pia: Marekani yaipa Tanzania Dola Milioni 1 kupambana na Ebola

Pia juzijuzi hapa tuliona Wakenya walikataa kituo cha Ebola kujengwa kwao na wakaandamana kabisa, je CCM wamekubali hicho kituo kujengwa Tanzania? Na ndo maana wamekubali kupokea hiyo hela?

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya dola milioni 1 za Kimarekani, sawa na takribani shilingi bi.jpg

marekani.jpg

Ukiachana na hizo TZS 2.6b za Ebola, kuna mkataba wa TZS 8 trillion wa afya waliupitisha majuzi.

Serikali inasema haitotoa taarifa za kiafya za watu. Nchi nyingine ziligoma kutoa taarifa zikanyimwa pesa, Tanzania ina nini?

Pia wanasema mkataba huo utaifanya Tanzania iweze kutengeneza yenyewe 80% ya dawa inazohitaji ifikapo 2030.

Watu wengi huko mitandaoni wanasema hii misaada itaokoa maisha ya wengi bila kujali viashiria vya hatari.
 
Wakuu,

Sasa hivi ukiingia kwenye kila online media habari ni moja tu, Tanzania imepewa msaada na Marekani

Nakumbuka kipindi kile kipindi Seneti ya Marekani inajadili vikwazo vya Tanzania kwa Marekani media karibu zote za Bongo zilikuwa kimya including huyo anayejiita Miillard lakini leo tumepewa kiasi kidogo tu kila mtu anaripoti

Niseme tu, kwanza Bilioni 2.6 ni ndogo sana kwa taifa la watu Milioni 60. Hiyo hela ni sawa na kumpa dada wa mjini 10k kwa siku. Haimtoshi.

Kwa hiyo hiii kampeni yote ambayo inaendelea sasa, kupush hii agenda ni kujidhalilisha. Kitila alisema Tanzania kwa sasa tunajitegemea kwa 74% kwa nini mnashangilia kupata msaada wa USD Milioni 1?

Soma Pia: Marekani yaipa Tanzania Dola Milioni 1 kupambana na Ebola

Pia juzijuzi hapa tuliona Wakenya walikataa kituo cha Ebola kujengwa kwao na wakaandamana kabisa, je CCM wamekubali hicho kituo kujengwa Tanzania? Na ndo maana wamekubali kupokea hiyo hela?

View attachment 3630315

View attachment 3630316

Sawa
 
Hizo pesa zina program maalumu. Miezi kadhaa hapa nyuma bwana Changarawe alienda kushikana mkono na mabalozi wa trump kupokea maelekezo kuhusu maswala ya afya.

Sasa nadhani yale makubaliano bajeti yake ya kutekeleza ndio hiyo.
 
Wakuu,

Sasa hivi ukiingia kwenye kila online media habari ni moja tu, Tanzania imepewa msaada na Marekani

Nakumbuka kipindi kile kipindi Seneti ya Marekani inajadili vikwazo vya Tanzania kwa Marekani media karibu zote za Bongo zilikuwa kimya including huyo anayejiita Miillard lakini leo tumepewa kiasi kidogo tu kila mtu anaripoti

Niseme tu, kwanza Bilioni 2.6 ni ndogo sana kwa taifa la watu Milioni 60. Hiyo hela ni sawa na kumpa dada wa mjini 10k kwa siku. Haimtoshi.

Kwa hiyo hiii kampeni yote ambayo inaendelea sasa, kupush hii agenda ni kujidhalilisha. Kitila alisema Tanzania kwa sasa tunajitegemea kwa 74% kwa nini mnashangilia kupata msaada wa USD Milioni 1?

Soma Pia: Marekani yaipa Tanzania Dola Milioni 1 kupambana na Ebola

Pia juzijuzi hapa tuliona Wakenya walikataa kituo cha Ebola kujengwa kwao na wakaandamana kabisa, je CCM wamekubali hicho kituo kujengwa Tanzania? Na ndo maana wamekubali kupokea hiyo hela?

View attachment 3630315

View attachment 3630316

Wanahisi mambo yameisha!
 
Mambo ya AIBU KABISA, huo msaada unapatika KATORO, lakini waoumbafu wanafuria kusaidiwa na USA. CCM ni matakataka kabisa
 
1. Mtoa mada acha wivu wa kike kwa milard ayo, tafuta Hela hata kwa kumuibia mumeo. MillardAyo amepost vingi tu vinavyoenda against na serikali, acha kupotosha. Hata hivyo, MillardAyo ni chombo huru hivyo kinaweza kupost chochote kinachotaka, kama wewe na nyumbu wenzio mlivyospecialise katika upostishaji wa mabaya tu ya Samia asubuhi, mchana, jioni na usiku.

2. Habari hiyo Wala haijapostiwa sana kuzidi mlivyopost habari za icc, us na Europe kuinyima misaada na kuiwekea vikwazo Tanzania kwa kosa la kumkamata kimada wao, lissu. Umelikomalia hili na kulihuisha sababu una hasira, hupendi.
 
Wakuu,

Sasa hivi ukiingia kwenye kila online media habari ni moja tu, Tanzania imepewa msaada na Marekani

Nakumbuka kipindi kile kipindi Seneti ya Marekani inajadili vikwazo vya Tanzania kwa Marekani media karibu zote za Bongo zilikuwa kimya including huyo anayejiita Miillard lakini leo tumepewa kiasi kidogo tu kila mtu anaripoti

Niseme tu, kwanza Bilioni 2.6 ni ndogo sana kwa taifa la watu Milioni 60. Hiyo hela ni sawa na kumpa dada wa mjini 10k kwa siku. Haimtoshi.

Kwa hiyo hiii kampeni yote ambayo inaendelea sasa, kupush hii agenda ni kujidhalilisha. Kitila alisema Tanzania kwa sasa tunajitegemea kwa 74% kwa nini mnashangilia kupata msaada wa USD Milioni 1?

Soma Pia: Marekani yaipa Tanzania Dola Milioni 1 kupambana na Ebola

Pia juzijuzi hapa tuliona Wakenya walikataa kituo cha Ebola kujengwa kwao na wakaandamana kabisa, je CCM wamekubali hicho kituo kujengwa Tanzania? Na ndo maana wamekubali kupokea hiyo hela?

View attachment 3630315

View attachment 3630316

hela ndogo 2.6B 😂😂😂 ila vijana wa Jamii Forum bana.

unadharau 2.6B!??

fedha za kuchukua tahadhari tu hizo na pia mlidai mahusiano yetu yamevurugika imekuaje tena
 
Mambo ya AIBU KABISA, huo msaada unapatika KATORO, lakini waoumbafu wanafuria kusaidiwa na USA. CCM ni matakataka kabisa
wala Serikali aijaomba msaada Us

Us wametoa hiyo package ni utaratibu waoacheni kutumia makalio kufikiri
 
Back
Top Bottom