tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Taarifa imetolewa na ubalozi wa Marekani nchini mwenu.Propaganda
Dah ndo naiona, aibu
Na Wakimuomba anaweza kuwapa.hizo billion mbili hata yule jamaaa wa katoro anazo. hivi serikali inakuaje inatudhalilisha namna hiii pesa ndogo kama hiyo kuna ulazima gani ndo iwe kama habari
SawaWakuu,
Sasa hivi ukiingia kwenye kila online media habari ni moja tu, Tanzania imepewa msaada na Marekani
Nakumbuka kipindi kile kipindi Seneti ya Marekani inajadili vikwazo vya Tanzania kwa Marekani media karibu zote za Bongo zilikuwa kimya including huyo anayejiita Miillard lakini leo tumepewa kiasi kidogo tu kila mtu anaripoti
Niseme tu, kwanza Bilioni 2.6 ni ndogo sana kwa taifa la watu Milioni 60. Hiyo hela ni sawa na kumpa dada wa mjini 10k kwa siku. Haimtoshi.
Kwa hiyo hiii kampeni yote ambayo inaendelea sasa, kupush hii agenda ni kujidhalilisha. Kitila alisema Tanzania kwa sasa tunajitegemea kwa 74% kwa nini mnashangilia kupata msaada wa USD Milioni 1?
Soma Pia: Marekani yaipa Tanzania Dola Milioni 1 kupambana na Ebola
Pia juzijuzi hapa tuliona Wakenya walikataa kituo cha Ebola kujengwa kwao na wakaandamana kabisa, je CCM wamekubali hicho kituo kujengwa Tanzania? Na ndo maana wamekubali kupokea hiyo hela?
View attachment 3630315
View attachment 3630316
Wanahisi mambo yameisha!Wakuu,

Mambo ya AIBU KABISA, huo msaada unapatika KATORO, lakini waoumbafu wanafuria kusaidiwa na USA. CCM ni matakataka kabisaWakuu,
Sasa hivi ukiingia kwenye kila online media habari ni moja tu, Tanzania imepewa msaada na Marekani
Nakumbuka kipindi kile kipindi Seneti ya Marekani inajadili vikwazo vya Tanzania kwa Marekani media karibu zote za Bongo zilikuwa kimya including huyo anayejiita Miillard lakini leo tumepewa kiasi kidogo tu kila mtu anaripoti
Niseme tu, kwanza Bilioni 2.6 ni ndogo sana kwa taifa la watu Milioni 60. Hiyo hela ni sawa na kumpa dada wa mjini 10k kwa siku. Haimtoshi.
Kwa hiyo hiii kampeni yote ambayo inaendelea sasa, kupush hii agenda ni kujidhalilisha. Kitila alisema Tanzania kwa sasa tunajitegemea kwa 74% kwa nini mnashangilia kupata msaada wa USD Milioni 1?
Soma Pia: Marekani yaipa Tanzania Dola Milioni 1 kupambana na Ebola
Pia juzijuzi hapa tuliona Wakenya walikataa kituo cha Ebola kujengwa kwao na wakaandamana kabisa, je CCM wamekubali hicho kituo kujengwa Tanzania? Na ndo maana wamekubali kupokea hiyo hela?
View attachment 3630315
View attachment 3630316
hela ndogo 2.6B πππ ila vijana wa Jamii Forum bana.Wakuu,

wala Serikali aijaomba msaada UsMambo ya AIBU KABISA, huo msaada unapatika KATORO, lakini waoumbafu wanafuria kusaidiwa na USA. CCM ni matakataka kabisa