Ghana walikataa kwakuwa taarifa za watu zitakuwa wazi..Ukiachana na hizo TZS 2.6b za Ebola, kuna mkataba wa TZS 8 trillion wa afya waliupitisha majuzi.
Serikali inasema haitotoa taarifa za kiafya za watu. Nchi nyingine ziligoma kutoa taarifa zikanyimwa pesa, Tanzania ina nini?
Pia wanasema mkataba huo utaifanya Tanzania iweze kutengeneza yenyewe 80% ya dawa inazohitaji ifikapo 2030.
Watu wengi huko mitandaoni wanasema hii misaada itaokoa maisha ya wengi bila kujali viashiria vya hatari.
Ingekua unatumia ubongo usingeandika ulichoandikawala Serikali aijaomba msaada Us
Us wametoa hiyo package ni utaratibu waoacheni kutumia makalio kufikiri
Walitaka kuiangusha dola ya Tanzania ambayo ina miaka 65 ya uhai juu ya uso wa dunia.hela ndogo 2.6B πππ ila vijana wa Jamii Forum bana.
unadharau 2.6B!??
fedha za kuchukua tahadhari tu hizo na pia mlidai mahusiano yetu yamevurugika imekuaje tena
Hiyo pesa tungewaomba wale jamaa wa Katoro wasingetunyima.
Juzi tu hapa, zilikua zinapigwa kelele kwamba, wapinzani wanampango wa kuleta Ebola, alafu leo tunapokea pesa za msaada wa Ebola... Siasa ni hatari sana...
Cc: Mahondaw
Habari Mbaya sana kwa Vibaraka maana mlikua mnasema Uhusiano wa Tanzania na Marekani umeisha kumbe unazidi kuimarika. Ni pigo kubwa sana kwenu Poleeni Sana.Walitaka kuiangusha dola ya Tanzania ambayo ina miaka 65 ya uhai juu ya uso wa dunia.
Wakataka Trump aivamie nchi yetu aondoke na Samia, wanasahau nyuma ya huyo Mama nguvu kubwa kiasi gani ipo.
Pigo kubwa kwao hao waliotegemea kumuona Trump akiivamia Tanzania kisha akamchukua SSH.Habari Mbaya sana kwa Vibaraka maana mlikua mnasema Uhusiano wa Tanzania na Marekani umeisha kumbe unazidi kuimarika. Ni pigo kubwa sana kwenu Poleeni Sana.