NUUMA BAKUNYA
Member
- Feb 19, 2013
- 23
- 1
Si nasikia waliokosa hawana masomo ya kufundisha, sasa wakipangiwa shule watafundisha masomo gani.
Unataka watoe tamko la kusema nini? Walipotoa majina ya walimu waliopangwa kwenye halmashauri,lilikuwa ni tamko tayari. Kama hujapangiwa maana yake huna ajira. Akufukuzae hakuambii toka, utaona mambo yanabadirika.
Walishatoa tamko kuwa wanasubiri kibali cha kuajiri
Mkuu,nikweli wameshatoa tamko?
Mkuu,nikweli wameshatoa tamko?
mkuu chemichemi nimetoka hapa Tamisemi Dar ,directory office wakanijibu kuwa majina yatatangazwa mwisho wa mwezi huu walikuwa wanasubiri wale waalimu ambao hawajaripoti vituoni wameshajua idadi kwa hiyo watayatoa ila kama ualimu wako hauna somo lakufundishia hutapangiwa,kingine ni hawajiri upya wanareplace ambao hawakufika kwa hiyo kuna baadhi watakosa inategemea vipaumbele watakavyotumia
yeah,lakini cjui kama ni ya kwl,ila alizungumza bungeni wakati anajibu swali juu ya walimu walioachwa,waziri wa tamisemi alisema wanasubiri kibali tu
mkuu chemichemi nimetoka hapa Tamisemi Dar ,directory office wakanijibu kuwa majina yatatangazwa mwisho wa mwezi huu walikuwa wanasubiri wale waalimu ambao hawajaripoti vituoni wameshajua idadi kwa hiyo watayatoa ila kama ualimu wako hauna somo lakufundishia hutapangiwa,kingine ni hawajiri upya wanareplace ambao hawakufika kwa hiyo kuna baadhi watakosa inategemea vipaumbele watakavyotumia
Walishatoa tamko kuwa wanasubiri kibali cha kuajiri
Hilo tamko ulilisikia kwa masikio yako kutoka kwake au na wewe umeambiwa na mtu.??? Nitawajuza kitakacho jiri soon kuhusu awamu ya pili.
Tatizo vijana mnatapenda kuajiriwa.jiajirin!pale wizaran kila siku tunawaambia japo mm niajiriwa lakin napenda kujiajir
Sawa hata sisi tunapenda kujiriwa,na wewe kama ungekua hupendi kuajiriwa siunge kacha nafasi ukawaachia wengine wachukue nafasi yako ili wewe ukajiajiri?
Mmmh mkuu ajira tamu.
Sana mkuu
Mkuu.sasa hiv nchin kama hauna.baba,mjomba,shemej wakukushika mkono au pesa ata uwe na G.P.A 5 upati kaz .nunua kaz ingawa elimu emekopa mkuu