Mbona tamisemi awatowi tamko kwa walimu waliokosa ajira

NUUMA BAKUNYA

Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
23
Reaction score
1
ni15/5/2014 Kuna watu walisahaulika katika ajira mpya ya walimu likini tamisemi awatowi tamko la mwisho kwa wahanga hao kama Kuna mtu yupo dar au dom naomba aende ofisi zao aone kulikoni
 
Unataka watoe tamko la kusema nini? Walipotoa majina ya walimu waliopangwa kwenye halmashauri,lilikuwa ni tamko tayari. Kama hujapangiwa maana yake huna ajira. Akufukuzae hakuambii toka, utaona mambo yanabadirika.
 
Si nasikia waliokosa hawana masomo ya kufundisha, sasa wakipangiwa shule watafundisha masomo gani.
 
Hahahahaha!sawa wale wa degree labda kuna baadhi hawana hayo masomo,je na wale wa diploma hawana masomo ya kufundishia kweli?
 
Unataka watoe tamko la kusema nini? Walipotoa majina ya walimu waliopangwa kwenye halmashauri,lilikuwa ni tamko tayari. Kama hujapangiwa maana yake huna ajira. Akufukuzae hakuambii toka, utaona mambo yanabadirika.

Walishatoa tamko kuwa wanasubiri kibali cha kuajiri
 
Mkuu,nikweli wameshatoa tamko?

mkuu chemichemi nimetoka hapa Tamisemi Dar ,directory office wakanijibu kuwa majina yatatangazwa mwisho wa mwezi huu walikuwa wanasubiri wale waalimu ambao hawajaripoti vituoni wameshajua idadi kwa hiyo watayatoa ila kama ualimu wako hauna somo lakufundishia hutapangiwa,kingine ni hawajiri upya wanareplace ambao hawakufika kwa hiyo kuna baadhi watakosa inategemea vipaumbele watakavyotumia
 
Mkuu,nashukuru sana kwakufuatilia jambo hili,pia asante sana kwakutupa taarifa,ngoja tusubirie maana siku sio nyingi.
 
mkuu chemichemi nimetoka hapa Tamisemi Dar ,directory office wakanijibu kuwa majina yatatangazwa mwisho wa mwezi huu walikuwa wanasubiri wale waalimu ambao hawajaripoti vituoni wameshajua idadi kwa hiyo watayatoa ila kama ualimu wako hauna somo lakufundishia hutapangiwa,kingine ni hawajiri upya wanareplace ambao hawakufika kwa hiyo kuna baadhi watakosa inategemea vipaumbele watakavyotumia

Mkuu asante kwa taarifa ila ziwe za kweli.
 
Walishatoa tamko kuwa wanasubiri kibali cha kuajiri

Hilo tamko ulilisikia kwa masikio yako kutoka kwake au na wewe umeambiwa na mtu.??? Nitawajuza kitakacho jiri soon kuhusu awamu ya pili.
 
Mkuu,tusaidie kujua kinacho endelea huku kitaa hali ni mbaya,ramani hazi someki.
 
Tatizo vijana mnatapenda kuajiriwa.jiajirin!pale wizaran kila siku tunawaambia japo mm niajiriwa lakin napenda kujiajir
 
Sawa hata sisi tunapenda kujiriwa,na wewe kama ungekua hupendi kuajiriwa siunge kacha nafasi ukawaachia wengine wachukue nafasi yako ili wewe ukajiajiri?
 
jaman chekin TBC sa 1 kasoro asubuh tujue hatma ya post zetu.
LIVE CHECK UCPENDE KUADISIWA
 
Back
Top Bottom