LOOOK
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,389
- 674
Kijana nimekuelewa umeeleza kwa busara sana na nimekuelewa vyema, tunapo kuwa huku mitandaoni kuna mambo mengi sana, wewe ni mwalimu na umetumia weledi wako wa ualimu kutoa mawazo yako, tunapenda kupita mitandaoni ili kupata maoni na mawazo mbalimbali kutoka kwa walimu na pamoja na changamoto na namna ya kuzishughulikia usijali.Wewe Look; bora ukaushe tu kama auna hoja so unakuwa unakatisha watu tamaa ndomana before nilikuuliza unaongea kama nani umekuwa wa kwanza humu jukwaa la elimu kuwa amna ajira second selection kanusha na leo sasa source umepewa TBC1 ndomana wa tz atuendelei kwasababu yakukatishana tamaa maisha ayaendi ivyo so kwakuwa wewe upo inservice ndo uwabeze wenzio kitaa kugumu isitoshe uwezikujiajiri kama auna mtaji naongea kwa uchungu coz nimesoma kwenye mazingira magumu alafu tumekula boom la serikali inauma sana ndugu usiwe na kauli za aina iyo mkuu apa duniani tunapita tu.