Mbona tamisemi awatowi tamko kwa walimu waliokosa ajira

Mbona tamisemi awatowi tamko kwa walimu waliokosa ajira

Wewe Look; bora ukaushe tu kama auna hoja so unakuwa unakatisha watu tamaa ndomana before nilikuuliza unaongea kama nani umekuwa wa kwanza humu jukwaa la elimu kuwa amna ajira second selection kanusha na leo sasa source umepewa TBC1 ndomana wa tz atuendelei kwasababu yakukatishana tamaa maisha ayaendi ivyo so kwakuwa wewe upo inservice ndo uwabeze wenzio kitaa kugumu isitoshe uwezikujiajiri kama auna mtaji naongea kwa uchungu coz nimesoma kwenye mazingira magumu alafu tumekula boom la serikali inauma sana ndugu usiwe na kauli za aina iyo mkuu apa duniani tunapita tu.
Kijana nimekuelewa umeeleza kwa busara sana na nimekuelewa vyema, tunapo kuwa huku mitandaoni kuna mambo mengi sana, wewe ni mwalimu na umetumia weledi wako wa ualimu kutoa mawazo yako, tunapenda kupita mitandaoni ili kupata maoni na mawazo mbalimbali kutoka kwa walimu na pamoja na changamoto na namna ya kuzishughulikia usijali.
 
Mkuu sijuwi kama unanipima or unanikebeye ila na mimi nimetowa mawazo yangu kama mhanga wa hili tatizo kinachoniuma sana nilikosa ajira kwenye mazingira yenye utata ni uzembe tu wa baadhi ya uongozi wa chuo kutopeleka majina baadhi ya wahitimu na mpaka time hii bado nipo kitaa.
 
najua leo LOOK umeamini natafuta data we bisha 2 jamaa ukweli utajua 2 cku moja
 
Mkuu.sasa hiv nchin kama hauna.baba,mjomba,shemej wakukushika mkono au pesa ata uwe na G.P.A 5 upati kaz .nunua kaz ingawa elimu emekopa mkuu

Umh! unataka kutuambia hata ajira ya ualimu ni tatizo kubwa hivyo? mbona vishule vingi sana na watoto tunazaa kila siku? inamana walimu wametosha mashuleni!!! Hapo kwenye rushwa naogopa PCCB.
 
Umh! unataka kutuambia hata ajira ya ualimu ni tatizo kubwa hivyo? mbona vishule vingi sana na watoto tunazaa kila siku? inamana walimu wametosha mashuleni!!! Hapo kwenye rushwa naogopa PCCB.

Hapana mkuu,tatizo serikali inabana pesa kiasi kwamba inadiriki kuwaacha walimu mtaani wakati kuna shule nyingi ambazo utakuta ina mwalimu moja au walimu 6 wanafunz 250..
tatizo ni urasimu wa viongozi wetu
 
Back
Top Bottom