Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Mmepiga msumali leo keeper wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kabla ya Mwameja alikuwepo Idd PaziMiaka ambayo mimi nimeshuhudia mpira wa Bongo nimejionea kwamba Tanzania One Goalkeeper wote wanatokea Simba pekee. Nimeshuhudia Mohammed Mwameja,akaja Juma Kaseja na sasa Aishi Manura. Wote hawa ni Simba.
Kipindi cha Mwameja kule Yanga kulikuwa na Manyika Peter na Steven Nemes. Kipindi cha Kaseja kule Yanga kulikuwa na kina Amani Simba na Mapunda. Leo hii kuna kina Dida, Manyika Jr,Kakolanya lakini kigogo kipo Simba.
Zamani kidogo sijui kwa maana mimi bado mdogo
Na katika kipindi chote hicho cha hao makipa wenu kuwa TZ one taifa limepiga hatua gani katika soka!? Bora wakati ule wa Maxmo lango likiwa chini ya Ivo kuna kitu kilifanyika! Tulicheza mpaka michuano ya Afrika kwa wachezaji wa nyumbani! Kwa kiwango cha sasa cha Beno, Aishi ajiandae kuchoma mahindi muda si mrefu!
Mstari wako wa mwisho hapoHayo ni yako,Kaseja alikalishwa bench kutokana na bifu na Maximo na mapenzi yake na Yanga,zile zilikuwa fitna ni kama sasa tumuweke Manula benchi
Basi kindoki apewe uraia etiiiii??Manula hamna kipa pale ila nikuforce tu kuwa Tz one
Ungesema wametoka Simba kama mna academy, watu wanakuja wakubwa halafu unasema wametokea Simba? We ni mwanamichezo kweli?Loh SEND SMS
Mngekuwa na academy ndio ungesema namba moja wanatoka Simba, watu wanakuja wakubwa halafu unasema wametokea Simba?Miaka ambayo mimi nimeshuhudia mpira wa Bongo nimejionea kwamba Tanzania One Goalkeeper wote wanatokea Simba pekee. Nimeshuhudia Mohammed Mwameja,akaja Juma Kaseja na sasa Aishi Manura. Wote hawa ni Simba.
Kipindi cha Mwameja kule Yanga kulikuwa na Manyika Peter na Steven Nemes. Kipindi cha Kaseja kule Yanga kulikuwa na kina Amani Simba na Mapunda. Leo hii kuna kina Dida, Manyika Jr,Kakolanya lakini kigogo kipo Simba.
Zamani kidogo sijui kwa maana mimi bado mdogo
Mngekuwa na academy ndio ungesema namba moja wanatoka Simba, watu wanakuja wakubwa halafu unasema wametokea Simba?Miaka ambayo mimi nimeshuhudia mpira wa Bongo nimejionea kwamba Tanzania One Goalkeeper wote wanatokea Simba pekee. Nimeshuhudia Mohammed Mwameja,akaja Juma Kaseja na sasa Aishi Manura. Wote hawa ni Simba.
Kipindi cha Mwameja kule Yanga kulikuwa na Manyika Peter na Steven Nemes. Kipindi cha Kaseja kule Yanga kulikuwa na kina Amani Simba na Mapunda. Leo hii kuna kina Dida, Manyika Jr,Kakolanya lakini kigogo kipo Simba.
Zamani kidogo sijui kwa maana mimi bado mdogo
Kindoki anacheza timu gani Tz? Shida nikwamba hatutaki kusikia ukweli ila Manula nishatiBasi kindoki apewe uraia etiiiii??
Churaaa bhanaaaa
Na ukishashalikubali hili basi hoja yako imekufa kifo cha mendeHayo ni yako,Kaseja alikalishwa bench kutokana na bifu na Maximo na mapenzi yake na Yanga,zile zilikuwa fitna ni kama sasa tumuweke Manula benchi
Siwezi kushangaa,Miaka ambayo mimi nimeshuhudia mpira wa Bongo nimejionea kwamba Tanzania One Goalkeeper wote wanatokea Simba pekee. Nimeshuhudia Mohammed Mwameja,akaja Juma Kaseja na sasa Aishi Manura. Wote hawa ni Simba.
Kipindi cha Mwameja kule Yanga kulikuwa na Manyika Peter na Steven Nemes. Kipindi cha Kaseja kule Yanga kulikuwa na kina Amani Simba na Mapunda. Leo hii kuna kina Dida, Manyika Jr,Kakolanya lakini kigogo kipo Simba.
Zamani kidogo sijui kwa maana mimi bado mdogo
Hata Mimi nashangaa.Ungesema wametoka Simba kama mna academy, watu wanakuja wakubwa halafu unasema wametokea Simba? We ni mwanamichezo kweli?
Imekufaje,Manula hayuko kikosini kwa sababu alikuwa majeruhi.Na ukishashalikubali hili basi hoja yako imekufa kifo cha mende
Alipendwa tu na kocha lakini tz1 alikuwa kasejaNakumbuka ivo Mapunda alikua Tanzania one enzi zile Maximo anamsugulisha bench Jk