Mbona Tanzania One Goalkeeper hutokea Simba pekee?!

Miaka ambayo mimi nimeshuhudia mpira wa Bongo nimejionea kwamba Tanzania One Goalkeeper wote wanatokea Simba pekee. Nimeshuhudia Mohammed Mwameja,akaja Juma Kaseja na sasa Aishi Manura. Wote hawa ni Simba.

Kipindi cha Mwameja kule Yanga kulikuwa na Manyika Peter na Steven Nemes. Kipindi cha Kaseja kule Yanga kulikuwa na kina Amani Simba na Mapunda. Leo hii kuna kina Dida, Manyika Jr,Kakolanya lakini kigogo kipo Simba.

Zamani kidogo sijui kwa maana mimi bado mdogo
Na kabla ya Mwameja alikuwepo Idd Pazi
 
Ali Bushiri alikuwa Tanzania one Malindi
Hamis Kinye Tanzania One Young Africa
Juma Pandamali Tanzania One Pan African
Omar Mahadhi Tanzania One African Spirts/Simba
 
Kakolanya anatakiwa afanye kazi kumtoa Manula.. sio simple tu.
Kipa bora 3 mfululizo.
 
Akishakuwa ZTZ one tunamchukua, we are a company.
Na katika kipindi chote hicho cha hao makipa wenu kuwa TZ one taifa limepiga hatua gani katika soka!? Bora wakati ule wa Maxmo lango likiwa chini ya Ivo kuna kitu kilifanyika! Tulicheza mpaka michuano ya Afrika kwa wachezaji wa nyumbani! Kwa kiwango cha sasa cha Beno, Aishi ajiandae kuchoma mahindi muda si mrefu!
 
Miaka ambayo mimi nimeshuhudia mpira wa Bongo nimejionea kwamba Tanzania One Goalkeeper wote wanatokea Simba pekee. Nimeshuhudia Mohammed Mwameja,akaja Juma Kaseja na sasa Aishi Manura. Wote hawa ni Simba.

Kipindi cha Mwameja kule Yanga kulikuwa na Manyika Peter na Steven Nemes. Kipindi cha Kaseja kule Yanga kulikuwa na kina Amani Simba na Mapunda. Leo hii kuna kina Dida, Manyika Jr,Kakolanya lakini kigogo kipo Simba.

Zamani kidogo sijui kwa maana mimi bado mdogo
Mngekuwa na academy ndio ungesema namba moja wanatoka Simba, watu wanakuja wakubwa halafu unasema wametokea Simba?
 
Siwezi kushangaa,
Hata mitume na manabii walioandikwa kwenye vitabu vitakatifu karibia wote wametoka Middle East.
 
Ungesema wametoka Simba kama mna academy, watu wanakuja wakubwa halafu unasema wametokea Simba? We ni mwanamichezo kweli?
Hata Mimi nashangaa.
Watu wanakuja na midevu yao halafu wanajisifu.
Hao kazi yao ni kuvizia vipaji
Walivyogundua wenzao wa mikoani na kuwaiba.
 
Back
Top Bottom