Mbona Tanzania One Goalkeeper hutokea Simba pekee?!

Na kabla ya Mwameja alikuwepo Idd Pazi
 
Ali Bushiri alikuwa Tanzania one Malindi
Hamis Kinye Tanzania One Young Africa
Juma Pandamali Tanzania One Pan African
Omar Mahadhi Tanzania One African Spirts/Simba
 
Kakolanya anatakiwa afanye kazi kumtoa Manula.. sio simple tu.
Kipa bora 3 mfululizo.
 
Akishakuwa ZTZ one tunamchukua, we are a company.
 
Mngekuwa na academy ndio ungesema namba moja wanatoka Simba, watu wanakuja wakubwa halafu unasema wametokea Simba?
 
Mngekuwa na academy ndio ungesema namba moja wanatoka Simba, watu wanakuja wakubwa halafu unasema wametokea Simba?
 
Hayo ni yako,Kaseja alikalishwa bench kutokana na bifu na Maximo na mapenzi yake na Yanga,zile zilikuwa fitna ni kama sasa tumuweke Manula benchi
Na ukishashalikubali hili basi hoja yako imekufa kifo cha mende
 
Siwezi kushangaa,
Hata mitume na manabii walioandikwa kwenye vitabu vitakatifu karibia wote wametoka Middle East.
 
Ungesema wametoka Simba kama mna academy, watu wanakuja wakubwa halafu unasema wametokea Simba? We ni mwanamichezo kweli?
Hata Mimi nashangaa.
Watu wanakuja na midevu yao halafu wanajisifu.
Hao kazi yao ni kuvizia vipaji
Walivyogundua wenzao wa mikoani na kuwaiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…