Mbona TEC wananivua nguo kila siku. Kwani kuna nini. Zamani walikuwa wakitoa tamko limeshiba kweli kweli.

Mbona TEC wananivua nguo kila siku. Kwani kuna nini. Zamani walikuwa wakitoa tamko limeshiba kweli kweli.

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Ukizingatia matamko ya siku hizi ni kwamba yako juu juu sana na hayana uchambuzi makini. Ni kana kwamba wanaandika wakiwa wanawahi kuwa wa kwanza wasiwahiwe ni kkkt nk.

Au wanaandika wakiwa wanampango wa kumkomoa mtu.

Imagine matamko yale ya dp world, hivi kweli walikaa chini wakafikiri na kuumiza vichwa kala ya kuja public. Hebu angalia viability yake na jinsi dp wanavyofanya kazi kwa ufanisi mkubwa sana. Mtu anaweza kusema TEC walikuwa wanapingana nanuislam siyo dp word. Nchi gani inakataza wawekesaji?

Haya anagalia hili nalo la serikali za mitaa. Yaani ni drama tupu yaani huamini kama kweli hawa ni TEC tuliowazoea. Au Pengo kaondoka na TEC yake. Mana pengo alikuwa anatisha mpaka serikali ilikuwa inamwogopa.
 
Back
Top Bottom